Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

wenye nacho uongezwa ... lakini jamaa walipe kodi
 
Mzigo wa kodi anabebeshwa mlaji wa mwisho; mfanyabiashara anatumika kama sehemu ya kupitishia makusanyo kutoka kwa walaji wa mwisho(kodi), ndio maana matajiri wanazidi kuwa matajiri.
 
wenye nacho uongezwa ... lakini jamaa walipe kodi
Tena kama bezos ndio notorious kabisa kwenye kukwepa kodi nakumbuka ilikuwa 2014 kuna inquiry ilifanywa na serikali ya Uingereza dhidi ya kampuni yake ya Amazon Maana wanaoperate in a shady way na tax heavens Kule Luxembourg huku hawalipi kodi uingereza , wakati ndio wanafanyia biashara na kupigia faida , ni aibu kwa mtu kujiita tajiri namba moja au tajiri namba mbili duniani wakati ni mnyonyaji mkubwa wa kukwepa kodi .

Si wajifunze kwa mwenzao atleast bill gates
 
Dunia ngumu sana hii
 
Mzigo wa kodi anabebeshwa mlaji wa mwisho; mfanyabiashara anatumika kama sehemu ya kupitishia makusanyo kutoka kwa walaji wa mwisho(kodi), ndio maana matajiri wanazidi kuwa matajiri.
Ni hatari jomba , aisee kuna makampuni makubwa duniani wanatabia ovu , yaani wanaoffshore bank accounts kabisa mfano kile kisanga cha Panama files nk,na ukifuatilia mara nyingi unakuta labda kampuni kama Amazon wakiamua kukwepa kodi katika nchi husika wanakuja na kuoperate kwa kununua vikampuni vidogo then wao wanacheza michezo yao michafu ya ukwepaji wa kodi nyuma ya pazia , hii global cancer hata pale USA ni hivyo hivyo .
Kuna documentary niliwahi kuicheki ,aisee ni noma ,jamaa wana networks zao za upigaji kabisa
 
hiyo documentary inaitwaje
 
na ana watu wa maana wamemzunguka siamini elon yeye idea zote anabuni yeye. kuna nyengine anapata kutoka kwa watu waliomzunguka
Yes ana timu kubwa sana, ni wataalamu anaowanunua toka kwenye makampuni mbalimbali ili waje kuongeza nguvu kwenye kampuni zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…