Masikini ya Mungu[emoji26][emoji26] I feel pityYes aliacha, inavyoonekana jamaa alimuaminisha life litakuwa zuri zaidi ya alivyokuwa akiishi
Wengi wanakujaga hapa wanajifanya wanafanya kazi UN au UNDP na vitambulisho wanavyo.Kazi ilikuwepo sio mbali napofanyia mi kazi na yy...na huwa nawainvoice end of the month...
Ila sasa ni muongo halafu ni tapeli la kutupwa[emoji1787][emoji1787][emoji28]
Hahahaha kajifunza wapi utapeli hao mimi nawaona innocentTena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Haaaahaaaa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Wengi wanakujaga hapa wanajifanya wanafanya kazi UN au UNDP na vitambulisho wanavyo.
Kuna mmoja mpaka leo rafiki yangu, nikiwa chuo ndo nmefahamu fahamu ana magari anabadili jamaa alinipga almost milion 3 ya wanafunzi aisee ile kitu sitosahau.
Nilichukulia mpaka RB niliishi kama digidigi watu wametoa ela yao ya boom sijui hata niwambie nini wanielewe.
Aisee ukiendekeza tamaa mbele lazima upige. Yani kupigwa kunatokana na tamaa na mimi alinipa business ambayo niliona ntatoboa akandanganya ana mzgo wa laptop uko dubai sema kakosa ela ya kuusafirisha. Na mimi nikajaa nikawapanga wanafunzi wakatoa pesa weee baada ya kumpa sikuambulia hata windows
Wee huyo kajifunza wapi utapeli wakati uwa innocentTena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji1787]Huyu nae yupo insta. Ana tako, sura, shepu.. si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]
nimetest kama kweli anauza K maana sio kwa mirusho ile kwenye video zake..
nimemwambia nina dola mia nataka mzigo..
kaomba 20k
maji nimeyaomba, sijui niyanywe[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2182443View attachment 2182444
Dadeki west Africa nzima imeoza[emoji28][emoji28][emoji28]Cameroonian
Shangaa na wewe...kasomea Kenya kuanzia udogoni ( madai yake)Wee huyo kajifunza wapi utapeli wakati uwa innocent
Wale matapeli acha kabisa. Sema walau cameroonians wanaoa hapa hapa wanawajengea madada zetu nyumba kabla ya kurudi kwao. Nigerians ndo shida kabisa. West africans ndo wamewafunza mapaapaa wabongo utapeli.Dadeki west Africa nzima imeoza[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu hii dunia kabla hujafa unakuwa hujui kitu asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha kajifunza wapi utapeli hao mimi nawaona innocent
Haha wale wakitaka kukuibia wanakujengea picha ya vitu utakavyopata.Mkuu hii dunia kabla hujafa unakuwa hujui kitu asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan mi ndo mpaka Leo siamini na ujanja wangu wote, njeree alitaka kunitoa knock out haahaaa
Asee ningeumia vibaya maana nilianza kumuamini walah[emoji848]Ungepigwa mpaka ushangae [emoji1]
🤣🤣 Alikuwa ashakuweka kwenye 18 una bahati akili yako iko sawa sawaAsee ningeumia vibaya maana nilianza kumuamini walah[emoji848]
Kilichoniokoa kuna siku nilimwambia twende kwenye hiyo business ambayo nikitoa mi milioni 5 after 3 weeks tunapata 10m...I want to see with my naked eyes[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo zilianza chenga nyingi mara ooh opportunities ziko nyingi sio lazima hiyo tu, kesho yake nikapigwa proposal nyingine hapo ndo akili ilianza kucharge[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikimbia sikugeuka nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Very true...ahadi kibaoooHaha wale wakitaka kukuibia wanakujengea picha ya vitu utakavyopata.
Atakuahdii kukununulia gari sijui akupeleke vacation. Utaona ni mtu mwenye pesa na atakupa dollarsz na zawadi.
Siku anakuja na proposal anakwambia mzigo wake umedakwa bandarini inahitajika pesa kiasi flani. Na alikuwa kapanga akishauza ndo akupe zawadi ya gari aliyokuahidi.
Wewe utapiga hesabu naweza kukopa utajiongeza mwenyewe kwani unahitaji shillingi ngapi.... Hapo ndo umekwisha tayari.
Wizi wa kishamba kabisa[emoji848]Sisi vijana wetu wanacheza chini bado wako kwenye style ya "ile pesa tuma kwenye namba hii"