THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
ππ hatujapishana ila mimi sina papara alafu nimezoea pesa ya jasho nakuumiza kichwa. Si pesa ya chaap kwa haraka!Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa ππππ mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni
Kuna mbongo mmoja 2017 alidakwa Airport TZ Dar, alikuwa akiuza airplane online tickets kwa zaidi ya miaka miwili.Kabisa na unapata funzo.
Ujinga wa watu ndio mtaji wao.
Ndio maana mi huwa nasema usiseme alietapiliwa ni mjinga au mzembe sana ww shukuru Mungu hayakukuta.
Hawa watu wanabinu mbinu moya kila siku, ukiziba hapa wanaibua pale. Wanajua hakuna kitu hufanywa kwa 100% hivyo wao hutaguta ile loophole wakulipue.
Kwenye hiyo show vibibi vimepigwa $1million mwengine$2.8 million.Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa ππππ mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni
Dude alikuwa anasaidia sana wa-TZ kuwaelimisha mbinu za matapeli.Zipo mkuu sema wanapga wazungu hawa akina papaa mwana flani wanapiga ela nyingi kinoma
Niliwahi kufatilia ila sikufika mwishoDuh ngoja nizitafte. Hivi yule gavana wa kenya aliyemuua gf wake baada ya kupata ujauzito na kukataa kuutoa kesi yake iliishia wapi
Ke wana roho ngumu sana, ebu chukulia wapo Majambazi, Wachawi na bado Ke wameolewa nao na wanawajua vizuri sana hao Me zao.Sema wanawake wengine mna roho kuna mwanamke anajua kabisa mme wake ni tapeli na hana shida na alijua hata kabla hajaolewa
[emoji2][emoji2] hatujapishana ila mimi sina papara alafu nimezoea pesa ya jasho nakuumiza kichwa. Si pesa ya chaap kwa haraka!
Pole sana, lakini pia wanawake mna moyo wa haraka kusamehe haki zenu.Ni kweli mkuu.. wanawake kudanganywa ni rahisi sana
Kwenye hiyo show vibibi vimepigwa $1million mwengine$2.8 million.
Vibibi vilikiwa vinataka mtibwa sugar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemaanisha wale wanaofunguaga nyuzi hapa JF kutafuta wachumba, wake kwa waume nao wana riski kubwa tu sababu ni rahisi Mtu kuvaa rangi ya kondoo baada ya kufahamiana naye kisha ukishamwamini ndipo unapigwa na tukio hatari.Hawakukutana mtandaoni
Wenyewe wanakwambia yani inafika muda huyo mtu unayechat naye ukidhani mtu halisi anakuwa anakujua kuliko hata mzazi wako. Umeshare naye mengi na uzuri hawana haraka hata miezi tu mnaenda sawaLakin kwenye dating site wanaonywa sana kuwa usitume pesa popte
Wenyewe wanakwambia yani inafika muda huyo mtu unayechat naye ukidhani mtu halisi anakuwa anakujua kuliko hata mzazi wake. Umeshare naye mengi na uzuri hawana haraka hata miezi tu mnaenda sawa
Mbona hiyo ni cha mtoto?Siku akidakwa na yeye anaunganishwa kwenye tukio...ndo atajua hajui
Pole sana Dada, karibu utupatie A, B, C tujifunze kuhusu yaliyokukuta Best.Siku hizi watu wanakutapeli unafahamiana nao kabisa,binadam wamebadilika jamani
Wewe upweke kitu kingine kuishi bilankupata mtibwa sugar yataka moyoLakin kwenye dating site wanaonywa sana kuwa usitume pesa popte
Wanawake sijui ni watu wa namna gani maana kuna demu nilikuwa namfahamu yaani yeye anaolewaga na majambazi sugu tu akiwaua aliyenaye anapata mwingine naye jambazi hivyohivyoKe wana roho ngumu sana, ebu chukulia wapo Majambazi, Wachawi na bado Ke wameolewa nao na wanawajua vizuri sana hao Me zao.