Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Unawezaje kumtenga mhayudi na wazungu?Bila myahudi dunia kusingekuwa mahali pazuri kuanzia kwenye uzalishaji,matibabu,uchumi na teknolojia.Wazungu wanamhitaji myahudi kuliko myahudi anavyowahitaji wao!Kweli lakini Hamasi bado hawaja confirm, nimeona news lakini katika 120 ndio kabahatika kukomboa jumla 7 na leo wanne afu Hamasi bado hawajatupa sababu vipi walivyo kombolewa tutapa jibu badaye.
Yani kasaidiwa kumbe na vibaraka pamoja na uingereza hivi hivi asinge waokoa
Ila Somalia na Msumbiji ndio wanakutambua!Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali.
Uislam ni kuwaulia ndugu zao na kuwafanya mateka ili uje ujibrand kwamba unajua kuwahudumia mateka?BBC wanasema wameonekana wakiwa na afya njema, hata mchubuko hawana. wamekaa nusu mwaka. huo ndio uislam na waislam wanavyowafanyia wasiokuwa waislam. wakiristo wakiwateka waislam basi hapo wakitoka masikio hawana au macho
Afu America kakiri kuwasaidia Israel kwenye hio Operation, afu ndio eti anadai Hamasi akubali Biden Peace Plan 😄Hao jamaa leo wameua watu kibao , ndio maan wanajifanya wameokoa ili kujipa justification ya mauaji yao ...Shemu mpige mabomu halafu mateka watokea wasafi 😀 😀 .
Wanatumia BBC yao kusambaza ujinga eti wameenda kuokoa wakati sehmu walizofika leo ni damu tu kwa mabomu halafu mateka wawe wazima kweli?
Haya sawa ni-love Ila najua Jesus unam-love zaidi
We nenda zako huko Israel bila Anerica na Europe angeisha kufa zamani.Unawezaje kumtenga mhayudi na wazungu?Bila myahudi dunia kusingekuwa mahali pazuri kuanzia kwenye uzalishaji,matibabu,uchumi na teknolojia.Wazungu wanamhitaji myahudi kuliko myahudi anavyowahitaji wao!
Usimtaje yesu ukiwaongelea hao mashetani IsraelNguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji nyara wake na Hamas mnamo Oct7 ulitisha ulimwengu, ameokolewa na IDF, pamoja na mateka wengine 3. Wote walisema wako katika afya njema. Mamake Noa ana saratani ya ubongo isiyoisha, na alitaka kuishi muda wa kutosha kuona msichana wake akirudi nyumbani.
View attachment 3011849
Good News from GAZA.
Kwa wale ndio Yesu 😀 😀 wale sio wagalatia wenzioYESU sio Binadamu wa kawaida hata awe na kisasi Wala kinyongo
Hamas ni wapumbavu,badala waachie mateka mambo yaishe, wanawatoa sadaka wapalestina wasio na hatiaHao jamaa leo wameua watu kibao , ndio maan wanajifanya wameokoa ili kujipa justification ya mauaji yao ...Shemu mpige mabomu halafu mateka watokea wasafi 😀 😀 .
Wanatumia BBC yao kusambaza ujinga eti wameenda kuokoa wakati sehmu walizofika leo ni damu tu kwa mabomu halafu mateka wawe wazima kweli?
Maalim mbona povu la kleesoft lime kutoka hiviiiGoddammit! Who fukin cares? Unafikiri hayo mazungu ya kiyahudi yanajali kama Somalia au msumbiji kama watu wanakufa kila siku? Au unafikiri yatajali kama wewe ukitekwa? No they don't and won't give a shit about you?
Acha kulamba miguu ya watu wasiokutambua wala kukujali. Pathetic.
Yesu ni bwana yako???Yesu ni BWANA.
Sasa unapiga watu , si wawafuate Hamas .Hamas ni wapumbavu,badala waachie mateka mambo yaishe, wanawatoa sadaka wapalestina wasio na hatia
Kuna mwaka Messi aliktaa kucheza na timu ya Israel , hao wanaua watoto kila siku wala hamna uhusiano na Hmas....Hamas watoto wa juzi wameukuta mgogoroHamas ni wapumbavu,badala waachie mateka mambo yaishe, wanawatoa sadaka wapalestina wasio na hatia
Hiyo ndio maana halisi ya iDF being the BEST army in the world.Hao jamaa leo wameua watu kibao , ndio maan wanajifanya wameokoa ili kujipa justification ya mauaji yao ...Sehemu mpige mabomu halafu mateka watokea wasafi 😀 😀 .
Wanatumia BBC yao kusambaza ujinga eti wameenda kuokoa wakati sehmu walizofika leo ni damu tu kwa mabomu halafu mateka wawe wazima kweli?
Taarifa zinasema kati ya magaidi 80 wa hamas waliouawa yupo Mastermind Mohamed Deif gaidi 3 wa hamas naye ameuawa kwenye operation ya kuokoa matekaMateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel
Source BBC
Hamas wa buza wana shida sana.Wale Washabiki wa Magaidi wa Hamas watakuja kubisha.
Sasa si wampige huyo anayetegemewa na Israeli? Shida iko wapi hapo.We nenda zako huko Israel bila Anerica na Europe angeisha kufa zamani.
Bila israel hakuna Ulaya wala America jitahidi kuhangaisha kichwa kusoma.Unafikiri America anamsaidia kwa sababu gani?We nenda zako huko Israel bila Anerica na Europe angeisha kufa zamani.