Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct.

Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini kwa lengo la kujishikiza na kupata pesa za kufanyia maombi ya kazi ya kile nilichokisomea.

Nilifika mkoa X na kuanza kazi hiyo ya kiwandani huku nikiishi kwa ndugu, mshahara ulikuwa Tsh. 314,000. Japo kazi ilikuwa na ups and downs lakini niliweza kuhama Kwa ndugu kwenda kupanga chumba na kuanza rasmi maisha ya kujitegemea.

Kuanza kujitegemea ndio chanzo Cha majuto yangu ya leo. Kama kijana wa kiume nikaanza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake tofauti ule uhuru wa kujitegemea nikashindwa kujicontrol nikaipa ngono kipaumbele na nikawa kama mtu aliyeridhika kwa kuona maisha nishayapatia kwa kuwa na geto lenye kitanda, Flat tv na subwoofer.

Kuna jirani ambaye alihamia nilipokuwa nimepanga akiwa na mtoto wake, tukaanza mazoea na mwisho wa siku tukawa na mahusiano. Tukawa free kiasi kwamba room yangu akawa anaingia anytime. Kwa ufupi akajisogeza tukawa tunaishi pamoja. Hili jambo liliwafikia ndugu zangu pamoja na wazazi, wakalipinga vikali sana.

Sijui ni ujinga au utoto sikuwasikiliza, nikaendelea kuishi naye mpaka akapata ujauzito na ikumbukwe alikuwa na mtoto ambaye alikuwa chini ya miaka miwili, na kwa wakati huo huo kuna binti tena wa pembeni nikawa nimempa ujauzito.

Ndani ya muda mfupi nikajikuta ninaishi na mwanamke mwenye mtoto mdogo ambaye ana ujauzito wangu na pia nina mwanamke wa pembeni ana ujauzito wangu. Kwahiyo nikajikuta nina wajibu wa kuhudumia mwanamke ambaye hata kwao sipajui maisha yakaanza kuwa magumu nikawa mtu wa madeni stress juu ya stress.

Kutokana na vitisho vya watu kwamba unaishi na mwanamke mjamzito ambaye hupajui hata kwao siku akija kupata matatizo utawajibika, nikalazimika kwenda kujitambulisha kwa mwanamke bila ya kupenda.
Siwezi kushangaa mwanafunzi wa CBE kuwa kiwembe hivyo

Sema nini mwana pambana kutunza familia yako, mwanakulifind mwanakuliget
 
Mkuu nasubiri muendelezo nipo pale siti ya nyuma kabisa nikiwa na popcorn zangu...
 
Umepanda marage unavuna marage
 
Back
Top Bottom