Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

Unampoteza!!!

Nature ya mwanaume ni kuhudumia kwa nidhamu,kutenda yaliyo mema na kuwajibika kama kichwa cha jamii uume kusimama sana au kuendekeza wanawake haijawahi kuwa asili ya mwanaume.

Ni kutokujitambua tu.
Hawayajui hayo. Wanachojua ni kuwa na wanawake wengi na kuhalalisha wameumbwa hivyo. Wanavyokuja kulialia hapa kijinga tunawashangaa
 
Haya pamban mkuu Kuna jamaa angu anawatoto kumi na Hana ajira yoyote rasm na kwa mke anaeishi nae anawatot watatu

Jamaa ajali lolote wamesha mpelekea watot lkn wanawake wameishia kuja kuwachukuwa watot wao sioni aja ya kuogopa Wala usinge enda kwao mwanamke ungemuambia tu kuwa umeama kikazi hvyo mtawasiliana chapa unaamsha kwenda kutafuta pesa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣uyo jamaa ni ninjaa🙌
 
Haya sasa! wale wote mliopo mbele inameni vizuri na mm nipate kusoma kilichoandikwa.
 
Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct.

Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, ndugu walinifanyia mpango wa kazi za viwandani mikoa ya kaskazini kwa lengo la kujishikiza na kupata pesa za kufanyia maombi ya kazi ya kile nilichokisomea.

Nilifika mkoa X na kuanza kazi hiyo ya kiwandani huku nikiishi kwa ndugu, mshahara ulikuwa Tsh. 314,000. Japo kazi ilikuwa na ups and downs lakini niliweza kuhama Kwa ndugu kwenda kupanga chumba na kuanza rasmi maisha ya kujitegemea.

Kuanza kujitegemea ndio chanzo Cha majuto yangu ya leo. Kama kijana wa kiume nikaanza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake tofauti ule uhuru wa kujitegemea nikashindwa kujicontrol nikaipa ngono kipaumbele na nikawa kama mtu aliyeridhika kwa kuona maisha nishayapatia kwa kuwa na geto lenye kitanda, Flat tv na subwoofer.

Kuna jirani ambaye alihamia nilipokuwa nimepanga akiwa na mtoto wake, tukaanza mazoea na mwisho wa siku tukawa na mahusiano. Tukawa free kiasi kwamba room yangu akawa anaingia anytime. Kwa ufupi akajisogeza tukawa tunaishi pamoja. Hili jambo liliwafikia ndugu zangu pamoja na wazazi, wakalipinga vikali sana.

Sijui ni ujinga au utoto sikuwasikiliza, nikaendelea kuishi naye mpaka akapata ujauzito na ikumbukwe alikuwa na mtoto ambaye alikuwa chini ya miaka miwili, na kwa wakati huo huo kuna binti tena wa pembeni nikawa nimempa ujauzito.

Ndani ya muda mfupi nikajikuta ninaishi na mwanamke mwenye mtoto mdogo ambaye ana ujauzito wangu na pia nina mwanamke wa pembeni ana ujauzito wangu. Kwahiyo nikajikuta nina wajibu wa kuhudumia mwanamke ambaye hata kwao sipajui maisha yakaanza kuwa magumu nikawa mtu wa madeni stress juu ya stress.

Kutokana na vitisho vya watu kwamba unaishi na mwanamke mjamzito ambaye hupajui hata kwao siku akija kupata matatizo utawajibika, nikalazimika kwenda kujitambulisha kwa mwanamke bila ya kupenda.
Why do fools fall in Love?
 
Kujifunza kuna thamani kubwa, na chochote chenye thamani lazima kipatikane kwa uchungu, maumivu makali na jasho. Kwahiyo kwasasa unajifunza kwa njia ngumu kwasababu kuna mwangaza mkubwa sana huko mbeleni baada ya hili ulilolifanya kuwa shwari, na hii ni katika kukua kwako na kukuzuia kurudia jambo hili tena katika siku za usoni.

Hapakuwa na namna nyingine ya wewe kufundishwa ubaya wa mienendo yako hii zaidi ya hiki unachopitia. Wazungu wanasema "You're learning in hard way". Nikupe sana pole mkuu, huo ndio uanaume na hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho. Ukomo wa hili ndiyo mwanzo wa nuru mpya kwako na watoto wako. Kila la heri!
 
Nashukuru sana WanaJamiiforums Kwa michango yenu ya mawazo Kwa kiwango fulani imekuwa faraja na mawazo ya kunijenga

Nilipoishia
Kutokana na vitisho vya watu kwamba unaishi na mwanamke mjamzito ambaye hupajui hata kwao siku akija kupata matatizo utawajibika, nikalazimika kwenda kujitambulisha kwa mwanamke bila ya kupenda.

Sehemu ya pili.
Nitarudi nyuma kidogo ili kuelezea sababu zilizonifanya kwenda kujitambulisha upande wa Mwanamke bila ya kupenda.

Wakati naanza mahusiano na huyu mwanamke ambaye alikuwa ni jirani yangu next door ni kama nilikuwa nimefocus zaidi kwenye mapenzi(kupeleka moto) kuliko mustakabali wa maisha yangu pamoja na mahusiano na huyo mwanamke japo msimamo wangu ulikuwa Hit and run. Taratibu tukawa karibu zaidi nikaanza kusimama kama Baba Kwa mtoto wake.

Katika kuendelea kufahamiana nikawa na mdadisi kuhusu background yake ilikuwaje mpaka akaanza kuishi mwenyewe vipi kuhusu kumudu gharama za maisha na hana kazi yoyote majibu yake ni kuwa awali alikuwa akiishi na mwanajeshi Arusha na akanithibitishia Kwa kunionesha kofia ya kijeshi aliyokuwa nayo kwenye nguo zake na aliachana na huyo mwanajeshi kutokana na usaliti uliozidi na ndio huyo mwenye mtoto na uwa anatuma pesa za matumizi Kila mwezi au panapotokea tatizo.

Na Mimi nikamwambia background yangu na kilichonileta Mkoa X na kumwambia muda wowote naweza kuondoka nilimweleza haya ili awe tayari Kwa lolote na asitegemee kama Mimi na yeye tutakuwa na future yoyote hapo mbele. Tukawa tunahave sex tu kwani aliniambia baada ya kujifungua Kwa njia ya oparesheni aliamua kutumia uzazi wa mpango na njia aliyotumia ni guarantee two years so mzee nikawa napakua tu anytime Kwa mitindo huru sikuwa na hofu ya chochote kama ujauzito.

Kama miezi miwili baadae akanieleza kuwa ana ujauzito hapo Sasa kichwa kikaanza kuwaka moto ukizingatia alikuwa na mtoto mdogo ambaye anaanza kujifunza kutambaa na akawa analalamika kuwa hospital walimshauri kupata mimba nyingine atleast Mtoto wa Mwanzo awe na miaka 4+ so ni kama wote tulikuwa tumechanganyikiwa tusijue Nini la kufanya ila kubwa alilosema yeye hayupo tayari kutoa mimba atailea mpaka kujifungua..

Itaendelea....
 
Sehemu ya tatu.
Ilipoishia.. tulikuwa tumechanganyikiwa tusijue Nini la kufanya ila kubwa alilosema yeye hayupo tayari kutoa mimba atailea mpaka kujifungua..

Nilijaribu kumuuliza imekuaje unapata mimba wakati uliniambia unatumia uzazi wa mpango Kwa guarantee ya miaka miwili afu kibaya zaidi una mtoto ambaye yupo chini ya mwaka mmoja majibu yake yakawa uzazi wa mpango Sasa unachangamoto inatokea kushika mimba hata kama unatumia uzazi wa mpango na hata yeye hajapenda kilichotokea ni kama bahati mbaya kiukweli ilinibidi nikubaliane na hali japo kishingo upande.

Miezi ikasonga sioni mabadiliko yoyote Kwa mwenza wangu ikanibidi niulize hiyo mimba vipi akaanza kucheka huku akisema nilikudanganya Sina mimba na sababu ya kunidanganya ni kuwa alikuwa ana hofu nitamuacha kurudi mkoani kwetu ikabidi atumie kigezo Cha ujauzito ili niendelee kuwa naye huo Mkoa X. Mi nilichukulia kama ni upendo wa kutaka kuwa nami na upande mwingine nilifurahi kusikia taarifa zile nikaendelea kula mzigo.

Kadri muda unavyoenda nilianza kunotice kuwa mwenzangu ana katabia kauongo kwani aliniambia alikuwa akiishi Arusha lakini Cha kushangaza ile wilaya alikuwa ni popular kidogo wakati kwao kabisa ni wilaya nyingine ambayo umbali wake ni takribani km 80+ Kuna baadhi ya washikaji zangu walikuwa wanamjua lakini sikutaka kuwauliza na nilikuwa ninakwepa mazungumzo yoyote yanayomhusu lengo kilikuwa sitaki kusikia skeletons zake zozote nisije kuhumia kihisia binafsi naogopa sana Tena sana kusikia stories mbaya za mtu wa karibu kama mpenzi wangu.

Alishawahi kuniambia uncle wako ni paroko wa parokia ambayo tunaishi na Kuna nyakati uncle wako anamsapoti kipesa nilijaribu kuconnect dots nikaona na wenyewe ni uongo.

From that time nikaona ni wakati sahihi kumpunguza kwenye maisha yangu na njia pekee ya kumpunguza ni kuondoka katika Ile nyumba lakini upande wake yeye ananiona kama mume wake na ni responsibility yangu kumhudumia so Kwa wakati mmoja nikawa Nina agenda ya kumtoroka lakini wakati huo huo ni Kawa namuonea huruma na pili ni kuwa nikimtoroka Sina uwezo wa pesa kusurvive huko niendako nikawa nasikilizia tu siku zinaenda kumbe wakati nachelewa kufanya maamuzi kumbe ndio naendelea kutengeneza tatizo.

Miezi michache mbele nikapewa taarifa za ujauzito Tena tofauti ya taarifa ya mimba hii ni kuwa ilikuwa ni kweli.

Itaendelea
 
Amna kosa kubwa kimedani kwenye kila nyanja kua na hesitation kufnya maamuz ambao hsia zako znaona mbele ntaumia.
 
Kwa kusoma stori hii, nimejua kuwa nimefanya uamuzi mzuri kumsaidia huyu mwanamke akapange kwake.

Yaaani siko tayari kuishi na mwanamke kwa sasa
 
Back
Top Bottom