Matendo yangu ndiyo chanzo kikuu cha kukosa furaha na amani ya moyo, najuta

Siwezi kushangaa mwanafunzi wa CBE kuwa kiwembe hivyo

Sema nini mwana pambana kutunza familia yako, mwanakulifind mwanakuliget
 
Mkuu nasubiri muendelezo nipo pale siti ya nyuma kabisa nikiwa na popcorn zangu...
 
Umepanda marage unavuna marage
 
Ni nature yenu wala usijali...ongeza pisi nyingine Acha uoga kijana
Unampoteza!!!

Nature ya mwanaume ni kuhudumia kwa nidhamu,kutenda yaliyo mema na kuwajibika kama kichwa cha jamii uume kusimama au kuendekeza wanawake haijawahi kuwa asili ya mwanaume.

Ni kutokujitambua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…