Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Yaap bure kabisaaa ndani ya mda mfupi hata dakika haishi unakuwa umepata

Na wengine nao wawe na moyo huo wa kusaidiana, kupendana na kuheshimiana ili taifa lisonge mbele. I hope wenye kuhitaji msaada watakuchek muda si mrefu.
 
ku- harmonize.! Ili iwe nini.

Ndo mtaongeza ubora wa elimu ya sekondari.

Hayo majina ni COSMETICS tu, uozo wa elimu hauboreki kwa kuipamba hyo ,. Aahh, unanichosha tu.

UCKUTE NYIE NDO WASHAURI WA NECTA.., KAMA TULIVYO NA WASHAURI WABOVU IKULU.
 
Distiction inaanzia point ngap had ngap!?

Tusaidieni tujue ili tulinganishe na sisi wa zamami.

Unaweza kuta mtu ana DIST. Kumbe enzi zile ni div 3.

Bora useme ueleweshwe!
Mfumo ulio tumika kukokotoa matokeo unaitwa GPA(grade point avarage)

GPA = Jumla ya marks za masomo
-----------------------------------------------
Idadi ya masomo
 
MKuu ina sikitisha sana mtu kukandia kitu hasicho kifahamu!
 
NAOMBA UTELEWESHE SISI AMBAO HATUJAFIKA UDSM tafadhali sana mkuu.
 
Bora useme ueleweshwe!
Mfumo ulio tumika kukokotoa matokeo unaitwa GPA(grade point avarage)

GPA = Jumla ya marks za masomo
-----------------------------------------------
Idadi ya masomo

mkuu nieleweshe.
 
Huu mfumo hauna tofauti na unao tumika vyuoni..huu ni mfumo mzuri unahitaji kujipa muda kuusoma na kuuelewa vizuri! Tafuta kitu kingine cha kukandia kwenye hii mada lakini kwenye huu mfumo unakosea kabisa! Kuuponda huu mfumo ni kuuponda mfumo ulio kupa matokeo ya chuo kikuu!
 
Bora useme ueleweshwe!
Mfumo ulio tumika kukokotoa matokeo unaitwa GPA(grade point avarage)

GPA = Jumla ya marks za masomo
-----------------------------------------------
Idadi ya masomo

Wewe nawe hujanielewa, MIMI BADO SIJAONA HAYO MATOKEO.

ILA KAMA WEWE UMEYAONA , NIPE GRADE ZA MTU MWENYE FIRST DISTINCTION,, YAANI A NGAP B NA NYONGEZA YENU B PLUS NGAP. THEN MIMI NTAKOKOTOA KWA MFUMO WANGU WA ZAMANI.
 
ku- harmonize.! Ili iwe nini.

Ndo mtaongeza ubora wa elimu ya sekondari.

Hayo majina ni COSMETICS tu, uozo wa elimu hauboreki kwa kuipamba hyo ,. Aahh, unanichosha tu.

UCKUTE NYIE NDO WASHAURI WA NECTA.., KAMA TULIVYO NA WASHAURI WABOVU IKULU.

Inakuchosha kwa kuwa IQ yako ndogo.

Usichekeshe watu kwa kusema kuwa GPA grading method ni kupamba elimu, yani wewe sio tu mj*nga, ila ni mshamba na mtu usiyependa kujifunza.
Unatupa lawama kwa kitu usichokijua ili iweje?
 
Am kweli wajinga ndio waliwao. Badala ha kuboresha mfumo wa elimu tunabadili uwasilishaji wa matokeo. Tunadidimia kwenye lindi la ujinga kwa kasi ya ajabu kwa kutuweza kuvitambua na kuvipangia vipaumbele
 
NAOMBA UTELEWESHE SISI AMBAO HATUJAFIKA UDSM tafadhali sana mkuu.

Ni upuuzi wanaufanya hawa NECTA wa ki ccm.

Wakueleweshe wenyeweweg mimi mwenyewe wala sitaki waniamishe kutoka mfumo wangu sahihi ninao usimamia.
 
Great thinkers see opportunities in challenge unlike other who see challenges in opportunities Maswayetu
 
Last edited by a moderator:
Inakuchosha kwa kuwa IQ yako ndogo.

Usichekeshe watu kwa kusema kuwa GPA grading method ni kupamba elimu, yani wewe sio tu mj*nga, ila ni mshamba na mtu usiyependa kujifunza.
Unatupa lawama kwa kitu usichokijua ili iweje?

Unanichosha! Huna jipya na maswali yangu huwezi yajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…