Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Haya matokeo ni vepe???
 
Kwani uarabu ni nini?, kama ngozi na nywele kama za kiarabu mbona mimi ninazo lakini sijui hata neno moja la kiarabu unataka utuaminishe uarabu ni ngozi na nywele na kila mwarabu ni tajiri, ila ni ukweli matajiri wengi ni waislamu kwa dini
Hilo swali napaswa nikuulize wewe na Faiza Foxy ambao huwa mnasema ninyi ni WAARABU lakini mna nywele ngumu na ngozi nyeusi

Kwangu mimi ukiwa na nywele nyeusi za kiafrika na ngozi nyeusi wewe si MWARABU ila ni MWAFRIKA.

Sasa leo tuambie wewe kama uarabu si ngozi, pua ndefu na nywele, je ni nini?

Go ahead..
 
Kwani uarabu ni nini?, kama ngozi na nywele kama za kiarabu mbona mimi ninazo lakini sijui hata neno moja la kiarabu unataka utuaminishe uarabu ni ngozi na nywele na kila mwarabu ni tajiri, ila ni ukweli matajiri wengi ni waislamu kwa dini
Swali la kwanza la kutaja hao waislam weusi, wabantu walio matajiri na waliowaajiri wakristo UMESHINDWA KABISA KUWATAJA.

Sasa tuambie wewe unakuaje Muarabu ilihali una ngozi nyeusi, pua pana ya kibantu na nywele nyeusi za kiafrika?
 
Haya ndo makeo ya sera ya makondo:
walimu wapande daladala bure, wanafunzi walipe nauli.

karibu bunda~nyasura
 
kufanya vibaya kwa dar naamini kuna changiwa na mambo makuu 2: miundo mbinu ni shida dar, watoto wanakaa muda mrefu barabarani. la pili udhibiti wa kuvuja mitihani. hili niwape sifa baraza la mitihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…