Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Msimamizi wa uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni jiji Dar es salaam, Kiduma Mageni amesema zoezi la uchaguzi katika kata ya Ndugumbi mtaa wa Mkoroshini linaendelea vema huku wananchi wakiendelea kujitokeza kupiga kura ambapo vyama viwili vimeingia katika kinyang'anyilo hicho ambapo ni CCM na ACT wazalendo.

 
Duh kweli watanzania wa leo sio wa 1970 ambao walikusanywa bila taarifa na kupelekwa kokote bila malengo.

Yaani tunataka katiba mpya isiyokuwa na akina Samuel sitta ili ivurugwe tena
 
Kinondoni nzima kituo kimoja cha kupiga kura. Hii nchi inaoza.
 
Kwa staili hii tusitegemee badiliko lolote hata katika uchaguzi ujao yaani watu wanafunika kombe upinzani utaibuka huenda baada ya 2020 maana kila mmoja anaogopa.
 
Zoezi la upigaji Kura limekamilika maeneo mengi nchini. Ukitoa mikoa ya Katavi, Ruvuma, Tanga na Njombe tupeane taarifa za matokeo ya kura zilizopigwa katika maeneo mbalimbali nchini.

..Katika Jimbo la Mbagala wilaya ya Temeke kata nyingi wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa. Vituo vya kura havikufunguliwa hadi sasa.
IMG-20191124-WA0052.jpeg
 
Inaonekana ni usajili mpya wa Slow slow kwenye Lumumba FC Mitandaoni
Huyu mtani lazima anawekewa bando na lazima liishe. Yaani kuna mahali haitakiwi kukoment chochote, yeye hucomment! Ila ukibahatika akiwa upande wako anakomaa vizuri sana. Lkn hafai kupewa uteuzi. Ataharibu sana. TUWE naye tu humu!!
 
Uchaguzi kwa kwanza kabisa ambao mwenyekiti wa CCM Taifa ameuona ni kituko kwa ujanja wake, kukwepa hilo nae kaingia mitini hajapiga kura kaja na tukio lingine, yaani kupokea gawio ameona ni kubwa kuliko kupiga kura, kachimba shimo la kufukia adui kajifukia na yeye.
 
Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu
Wapinzani ni dhaifu' ccm hawastahili kupongezwa. Huwezi shindana kukimbia na kilema halafu ukamshinda halafu upewe sifa. Ccm wakafanye kazi sasa wakati upinzani ukiendelea na malalamiko kama tulivyozoea.
 
Back
Top Bottom