Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio Kaka! Ila ni Wapiga kura wa CCM...ndio inanoga vizuri ukitamka au ukiandika hivyo
Sasa hawa ndio wapiga kura?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hawa ndio wapiga kura?
Mmesusa alafu mko bize kutujuza yanayojiri ktk uchaguzi.Maccm ni majambazi yaliyolaaniwa yanafanya wizi siku ya ibada yakiwa yamevaa rozary
Vituko vya karne.yaani wanatupa update mpaka rahaMmesusa alafu mko bize kutujuza yanayojiri ktk uchaguzi.
Ufipa mna vituko sana.
Yaani hawa jamaa raha sana. Mimi nimechili tu hapa wananipa taarifa wao.Vituko vya karne.yaani wanatupa update mpaka raha
Kila linalojiri wanatupa.Yaani hawa jamaa raha sana. Mimi nimechili tu hapa wananipa taarifa wao.
unaambiwa uchaguzi huu polisi walikuwaSasa hawa ndio wapiga kura?
Dunia nzima inafuatilia jf ili kupata ukweli kuhusu uchafu unafanyika kwenye uchaguzi huu , kwa lengo la kuchukua hatua maridadi kwa awamu ya 5 , baada ya kulijua hili ndio maana tupo hapa ili kuanika kila uchafu ili mabeberu wanaoleta ARV ambazo ndio zimeshika uhai wa 95% ya viongozi wa sasa wajue .Yaani hawa jamaa raha sana. Mimi nimechili tu hapa wananipa taarifa wao.
Zimefika milioni 17 mpaka sasaHawa panya buku sjui watasema kura ngapi zimepigwa maana mtaani kwangu hakuna aliyeenda kupiga kura
Kama sadaka umetoa malalamiko yako ni sawa na kujilisha upepo!Yaani ni kitu cha kusikitisha sana leo niko kanisani Padre ninayemheshimu sana eti anahamasisha waumini wakapige kura eti kutopiga kura ni dhambi najiuliza wakati watendaji wanakimbia ofisi na kukata majina ya upinzani walikuwa wapi wasikemee hayo? Watuache sisi tumekataa hatuendi kupiga kura wao wawaweke hao wateule wao wa ccm.
Dunia ya ufipa labda...endeleeni kutupa taarifa makamanda. Mnafanya kazi nzuri.Dunia nzima inafuatilia jf ili kupata ukweli kuhusu uchafu unafanyika kwenye uchaguzi huu , kwa lengo la kuchukua hatua maridadi kwa awamu ya 5 , baada ya kulijua hili ndio maana tupo hapa ili kuanika kila uchafu ili mabeberu wanaoleta ARV ambazo ndio zimeshika uhai wa 95% ya viongozi wa sasa wajue .
Laana ya dhuluma zilizofanywa na sisiemu. Toba pekee itakayokubalika ili nchi ifunguliwe ni kuiondosha sisiemu madarakani.Miaka karibu 60 tangu tumepata uhuru nchi yetu bado tupo kwenye hali hii. Raia wa kawaida kabisa hawawezi kuvaa viatu, nakumbuka picha za mwaka 1960 tulipopata uhuru wengi walikuwa peku peku. Je, kwa nini maendeleo yetu yanakwenda kwa mwendo wa sisimizi?
Sisi tumepiga kura
Nyie keyboard worries mmeishiwa hoja na wala sio wapiga kura
Sisi tumepiga kura
Nyie keyboard worries mmeishiwa hoja na wala sio wapiga kura
Hii Ndio demokrasia na Amani
Wasimamizi wapo nje hawana hofu
Endeleeni kutujuza kamanda... nilidhani mmesusa kwa jumla kumbe utoaji taarifa mnaendelea...Wasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246
Hahaaaa umenifurahisha sana, nipo Mkuu tunasoma tu sasahivi tunapita kushoto kuleeeee, nice meeting you RevolutionMember wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]