Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Yaani hawa jamaa raha sana. Mimi nimechili tu hapa wananipa taarifa wao.
Dunia nzima inafuatilia jf ili kupata ukweli kuhusu uchafu unafanyika kwenye uchaguzi huu , kwa lengo la kuchukua hatua maridadi kwa awamu ya 5 , baada ya kulijua hili ndio maana tupo hapa ili kuanika kila uchafu ili mabeberu wanaoleta ARV ambazo ndio zimeshika uhai wa 95% ya viongozi wa sasa wajue .
 
Yaani ni kitu cha kusikitisha sana leo niko kanisani Padre ninayemheshimu sana eti anahamasisha waumini wakapige kura eti kutopiga kura ni dhambi najiuliza wakati watendaji wanakimbia ofisi na kukata majina ya upinzani walikuwa wapi wasikemee hayo? Watuache sisi tumekataa hatuendi kupiga kura wao wawaweke hao wateule wao wa ccm.
Kama sadaka umetoa malalamiko yako ni sawa na kujilisha upepo!
 
Dunia nzima inafuatilia jf ili kupata ukweli kuhusu uchafu unafanyika kwenye uchaguzi huu , kwa lengo la kuchukua hatua maridadi kwa awamu ya 5 , baada ya kulijua hili ndio maana tupo hapa ili kuanika kila uchafu ili mabeberu wanaoleta ARV ambazo ndio zimeshika uhai wa 95% ya viongozi wa sasa wajue .
Dunia ya ufipa labda...endeleeni kutupa taarifa makamanda. Mnafanya kazi nzuri.
 
Wasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdates
Screenshot_20191124-161359.jpeg
 
Miaka karibu 60 tangu tumepata uhuru nchi yetu bado tupo kwenye hali hii. Raia wa kawaida kabisa hawawezi kuvaa viatu, nakumbuka picha za mwaka 1960 tulipopata uhuru wengi walikuwa peku peku. Je, kwa nini maendeleo yetu yanakwenda kwa mwendo wa sisimizi?
Laana ya dhuluma zilizofanywa na sisiemu. Toba pekee itakayokubalika ili nchi ifunguliwe ni kuiondosha sisiemu madarakani.

Sisiemu inasimamiwa na mkono wa kuzimu. Kuzimu hakujawahi kumpa binadamu faraja wala maendeleo.
 
Member wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Hahaaaa umenifurahisha sana, nipo Mkuu tunasoma tu sasahivi tunapita kushoto kuleeeee, nice meeting you Revolution
 
Back
Top Bottom