Kila sehemu namuona , hapa Kazi tuWewe 24 hrs kila thread upo unalipwa sh ngapi,aibu sana aisee
Endeleeni kutujuza kamanda... nilidhani mmesusa kwa jumla kumbe utoaji taarifa mnaendelea...
Wewe 24 hrs kila thread upo unalipwa sh ngapi,aibu sana aisee
kwani kinondoni nzima ni mtaa?Kinondoni nzima kituo kimoja cha kupiga kura. Hii nchi inaoza.
Huyu mtani lazima anawekewa bando na lazima liishe. Yaani kuna mahali haitakiwi kukoment chochote, yeye hucomment! Ila ukibahatika akiwa upande wako anakomaa vizuri sana. Lkn hafai kupewa uteuzi. Ataharibu sana. TUWE naye tu humu!!Inaonekana ni usajili mpya wa Slow slow kwenye Lumumba FC Mitandaoni
Kinondoni uchaguzi unafanyoka sehemu moja tu. Au huelewi hata maelezo yanayoongelewa kwa uwazi kabisa?kwani kinondoni nzima ni mtaa?
kwingine si mlisusa ,CCM hoyeeeKinondoni uchaguzi unafanyoka sehemu moja tu. Au huelewi hata maelezo yanayoongelewa kwa uwazi kabisa?
Unazikumbuka zile siku ulipokuwa 'mlevi'?Kizakinene
Wapinzani ni dhaifu' ccm hawastahili kupongezwa. Huwezi shindana kukimbia na kilema halafu ukamshinda halafu upewe sifa. Ccm wakafanye kazi sasa wakati upinzani ukiendelea na malalamiko kama tulivyozoea.Hongereni Ccm kwa kuwabwaga Wapinzani wenu
hicho ni moja ya kituo je umepitia vituo vingap usituaminishe kwa majibu ya kituo kimojaWasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246