Wanadhan ni rahisi sana nyakati hizi kuifanya nchi iwe ya chama kimoja NEVER,ni kweli wamefauru kupindua meza kwa wakati huu kwa kubariki utapeli mkubwa uliofanywa na watendaji ili tu CCM ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa nchi nzima but haya yaliyotokea yatadumu kwa muda mfupi sana na zaidi ya ya hapo tambueni kuwa upinzani upo kwenye mioyo ya watu
Hadi CCM wenyewe wamechukizwa ujinga uliofanywa kwenye huu uchaguzi