Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Wanadhan ni rahisi sana nyakati hizi kuifanya nchi iwe ya chama kimoja NEVER,ni kweli wamefauru kupindua meza kwa wakati huu kwa kubariki utapeli mkubwa uliofanywa na watendaji ili tu CCM ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa nchi nzima but haya yaliyotokea yatadumu kwa muda mfupi sana na zaidi ya ya hapo tambueni kuwa upinzani upo kwenye mioyo ya watu
Hadi CCM wenyewe wamechukizwa ujinga uliofanywa kwenye huu uchaguzi
 
Mbona magomeni Kura nyingi hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au wamepiga Kura kwa WhatsApp
Screenshot_20191125-015631.jpeg
 
Tuache unafik, ivi kitugani cha msingi Utakacho kwenda kuwaambia wananchi ili wasi ichague CCM kwa sasa?
Wewe hujui ila Jiwe anajua ndio maana mikutano ya siasa kazuia,bunge live,kesi kila kukicha kwa vyama nje ya ccm,kama hiyo haitoshi unaita watendaji/wenyeviti wa vijiji nchi nzima ikulu siku chache kabla ya uchaguzi-kwenye ambao Ni huru haki na wenye tume huru ccm haishindi.
 
Wewe hujui ila Jiwe anajua ndio maana mikutano ya siasa kazuia,bunge live,kesi kila kukicha kwa vyama nje ya ccm,kama hiyo haitoshi unaita watendaji/wenyeviti wa vijiji nchi nzima ikulu siku chache kabla ya uchaguzi-kwenye ambao Ni huru haki na wenye tume huru ccm haishindi.
Aiiisee, mkuu 'Vionix' Kama huyo uliyemjibu hataelewa, atakuwa na matatizo makubwa kichwani.
 
Sababu za kweli za uchaguzi huu kuvurugika Kwa kuvurugwa ni ukosefu wa fedha za kugharamia kampeni, wasimamiaji, wahesabu kura, na logistics mbalimbali. Yaani ilikuwa tuache kujenga reli ili twende tukachaguane au tuache kuchaguana tukajenge reli. Kwasasa nchi haina fedha za kufanya yote Kwa wakati mmoja ila ni ngumu kuisema hii hadharani.

Nadhani sababu hii ingekuwa ya msingi kama ingepata mtu sahihi wa kuisemea. Nchi zetu hazipigi hatua kutokana na kujikita kwenye mambo yasiyo ya msingi kama vile uchaguzi wa kila mara, sikukuu, haki za binadamu nk. Wakati wazungu walipokuwa wanajenga uchumi wao hawakuwa na demokrasia wala haki za binadamu, China walifika pale Kwa kuachana na demokrasia, Rwanda imefika pale Kwa kuachana na democracy, waarabu wamefika pale Kwa kuachana na demokrasia.

Democracy, haki za binadamu, soko la dunia, benk ya dunia na IMF ndizo sababu halisi za pekee zinazosababisha Africa iwe nyuma
 
sasa tatizo lako nini.hatutaki mavyama ya kidikteta hapa..chama kinawaamulia wananchi mtu wa kuwaongoza..ni ujuha wa kiwango cha Kubenea jomba...wa elimu ya hapa na pale.hahahaha
Badili katiba kuwe na mgombea binafsi kama hamtaki udikteta wa Ccm
 
Anakuwaje mgombea bila kudhaminiwa na chama? Kama katiba inaruhusu mgombea binafsi Sawa. Chadema walijitoa nchi nzima kwy uchaguzi
 
Back
Top Bottom