Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Wenyeviti wa serikali za mitaa waliochaguliwa jana katika manispaa ya Bukoba wameapishwa leo chini ya usimamizi wa mkuu wa mkoa wa Kagera.

Imeelezwa pia Chadema na Cuf wamefanikiwa kupata ushindi katika vitongoji sita wilayani Muleba katika mkoa huo wa Kagera na hivyo kuizuia CCM kupata ushindi wa 100%

Source TBC habari!
 
Unazungumzia Uchafuzi gani??
Chadema ipi ulioshiriki?? Acha ujinga mwandishi.
 
Sasa kwa ushindi huu wa kishindo sasa tunaamini vitu vitashuka bei sana maana ccm wameutafuta ushindi kwa ajili ya kuwaraisishia wananchi maisha yao sasa sukari itashuka bei, sementi nayo itashuka bei kwa mikoa kama ya Rukwa na kwingineko,mishahara ya watumishi itapanda bila shida sasa.
 
Unajua kabla ya kwenda Chadema Dr Slaa alikua chama gani?
Mfumo uliokuepo kabla ya 1992 ilimlazimisha kila mwananchi kuwa mwanachama wa Ccm . Hivyo usishangae Dr kuwa alitokana ccm . Nilikuepo najua ilivyokuwa
 
Hii ni historia mpya na ya kipekee katika taifa letu.

Wale wakina Augustino Lyatonga Mrema waliofanya kampeni za uchaguzi eti wameambulia 0% na hawa wakina CHADEMA na CUF ambao walitangaza kujitoa ndio wamepata ushindi wa 0.1%.

Tanzania tuna mambo ya kujivunia mengi.

Maendeleo hayana vyama!
 
FB_IMG_1574711761991.jpg
 
Ccm tulishawaambia sisi tulishajitoa mnatulazisha nini? Tunashindaje wakati hatujashiriki, hebu endeleeni na uchafuzi wenu huko.
 
Mrema naye angejitoa leo angekuwa na viongozi kadhaa.

Afu hao waliojitoa ni wamepata 0.01%

CCM ni 99.99%

Wataisoma,mwaka huu tumejipanga..[emoji99][emoji99]

Mwakani hapatatosha...maana tumejipanga.
 
Back
Top Bottom