johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema ni vibaraka wa CCM?!!Hao ni Vibaraka wa CCM kama hujui hilo
Mfumo uliokuepo kabla ya 1992 ilimlazimisha kila mwananchi kuwa mwanachama wa Ccm . Hivyo usishangae Dr kuwa alitokana ccm . Nilikuepo najua ilivyokuwaUnajua kabla ya kwenda Chadema Dr Slaa alikua chama gani?
Sarakasi za polepole huku kajifunga taulo wacha tujionee nyeti
Who cares, tumewaacha mfanye mnavyotakaTake Care, mwakani hupati mbunge
Wasinge kunyang'anya pengine uasingekuwa mbumbumbuAyaaa....Boniface umeya ndo basi tena..?
Ajipange na kiinua mgongo atakachopata!Ayaaa....Boniface umeya ndo basi tena..?