Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Nadhani hiki ndio wa mrengo fulani walikua wanataka- kupita bila kupingwa, haya kuleni na kunywa mkifurahi kwa mlichokitaka...!
 
Cku zote watanzania ni WANYONGE! Mwanzo tulikuwa wanyonge kwa MAFISADI lkn sasa ni wanyonge kwa WANASIASA! Na TUTAZIDI kuwa WANYONGE japo CJUI mpaka lini? Wanaongea mbele ya HADHARA bila haya wala wcwc! Lkn mioyoni mwao WANAJUA kabisa kwamba ukweli ni UPI
 
Leo ndio wanafanikisha swala lao la kurusha bomu mochwari na kujisifia wameua.
Taarifa za Uhakika ni Kwamba Wazabuni wao walikosa Fungu la kuwadhamini baada ya kuonekana kuwasubiria Wagombea wa CCM walioshindwa kwenye kura za maoni.

Kwa namna Nyingine Upinzani wanawatafuta walioshindwa CCM sasa hapo kuna haja Gani ya kutosema ukweli kwamba vichwa sahihi vya kiuongozi vipo CCM tu. Kama hamuamini angalia Lowasa alivyoshindwa CCM upinzani wakambeba na kumwita msafi msafi wakati akiwa CCM walikuwa wanamwita fisadi, very sad. Kwa Faida ya siasa Upinzani waaache hako kamchezo ka kuwasubiria Wagombea waliokataliwa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏘🏘🤣🏘🏘🏘🏘🏘🏘🏘🏘🤣🤣🤣🤣
 
Msanii, Kweli ccm haina ridhaa ya wananchi Bali ina ridhaa ya police, nimedrive toka kigamboni kibugumo mpaka mabibo na kurudi sijaona popote wananchi japo wapo ktk msululu wakipiga kura.
Next time muwe mkiwataja viongozi mnaowataka au mashemeji zenu wanaotembea na dada zenu na so ghiriba za namna hii.
Shame on you ccm
 
Ni uchaaguzi wa ajabu kuwahi kutokea duniani.Huku niliko wengi wanaendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna uchaguzi.
 
Niko hapa naona makarani wa uchaguzi wametumbua macho tu maana anakuja mtu mmoja tena baada ya takribani dakika 30 anakuja mwingine..
 
2204134_Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom