Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Tangu nizaliwe sijawahi kuona mauza uza kama haya duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu nizaliwe sijawahi kuona mauza uza kama haya duh
Ulikuwapo wakati tunampigia Mwinyi kura ya kivuli?
We ni mtu au ndiyo marobot ninayoyasikia yapo kwenye mitandao, maana comment zako ni kama kitu flani kipo programmed hivi?Hii Ndio Tanzania ya amani
Unapiga kura unarudi nyumbani bila hata nyasi kuumia
Najivunia kuwa Mtanzania mzalendo
We ni mtu au ndiyo marobot ninayoyasikia yapo kwenye mitandao, maana comment zako ni kama kitu flani kipo programmed hivi?
Tuache kuitukana Serkali ina mkono mrefu
Kama vile ambavyo Rais amepuuza kwenda kupiga kura. Nami nimeamua kupuuza zoezi hilo.
Taarifa za Uhakika ni Kwamba Wazabuni wao walikosa Fungu la kuwadhamini baada ya kuonekana kuwasubiria Wagombea wa CCM walioshindwa kwenye kura za maoni.Leo ndio wanafanikisha swala lao la kurusha bomu mochwari na kujisifia wameua.
Kwa hiyo wew ni serikaliTuache kuitukana Serkali ina mkono mrefu