Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kwa hiyo wew ni serikali
Mkuu, huwa nawaheshimu sana nyinyi member wa zamani, hususan wale wa 2006, 2007 hadi 2008. Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa chuoni mwl wetu kwenye kozi moja hivi Political Science (Human Rights-theory and practice), alikuwa anatusifia sana kuhusu jamii forum. RevolutionMember wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Siko Tanzania hata ningekuwepo nisingepiga sijawahi na sitawahi kupiga kuraUshapiga kura
Acha kutisha watu.Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Siko Tanzania hata ningekuwepo nisingepiga sijawahi na sitawahi kupiga kura
Siri yanguMimi mwenyewe sipo Tanzania upo nchi gani tukutane mpendwa
Hatuna msimamizi...nchi inaelea.tangu tupate uhuru nchi yetu haijawahi kuvurugwa vurugwa kama hivi sasa.
Watu tumepiga kura tumetulia nyumbani nyie Endeleeni kujifariji mitandaoni
Wapiga kura wa kweli wala hawana kelele
Kama nyie
Unabishana na mkuu wa nchi?
Tupia tukio ktk mtaa wako
CCM nyie muogopeni muumba mbingu na nchi...mnayoyafanya haya ni uonevu, dhambi, ukatli, uuaji, ubakaji wa demokrasia.
Dogo ulipoteaga wapi?Bado nimelala mwenyekiti wetu kapita bila kupingwa