Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Member wa miaka mingi sana! I use to see your comments! since then leo ndio ninakuona tena! Either umeadimika ama mimi nimekuwa sio mfuatiliaji. Happy to see you here mkuu[emoji2]
Mkuu, huwa nawaheshimu sana nyinyi member wa zamani, hususan wale wa 2006, 2007 hadi 2008. Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa chuoni mwl wetu kwenye kozi moja hivi Political Science (Human Rights-theory and practice), alikuwa anatusifia sana kuhusu jamii forum. Revolution
 
Uchaguzi unaoendelea leo unatoa majibu kwamba Watanzania karibia wote wanaichukia CCM.

Jambo hili CCM wanalijua na ndio maana wanatumia nguvu sana kudhibiti CHADEMA ambayo yenyewe mambo yanaenda kirahisi kabisa.

Kwa dalili hizi CCM inakata roho wakati wowote.

Mitaani huku watu hata hawana habari na uchaguzi kabisa.

Nadhani leo makada wapo busy kupiga kura za wizi kwa niaba ya Watanzania.

Nadhani tukisikia mabilioni yametukika basi kutakuwa na upigaji kwa sababu hakuna uchaguzi unaoendelea huku mitaani.
 
CCM nyie muogopeni muumba mbingu na nchi...mnayoyafanya haya ni uonevu, dhambi, ukatli, uuaji, ubakaji wa demokrasia.
 
Wanajimwambaf kuna mjinga mmoja anaporojo sana humu akishashiba makande ya lumumba kwamba kuna foleni za kufa mtu.
IMG_20191124_101846.jpeg
IMG_20191124_101842.jpeg
IMG_20191124_101009.jpeg
 
Watu tumepiga kura tumetulia nyumbani nyie Endeleeni kujifariji mitandaoni

Wapiga kura wa kweli wala hawana kelele
Kama nyie
 
Watu wapo Kanisani, wakitoka vituo vitafurika tu acheni haraka.
 
CCM nyie muogopeni muumba mbingu na nchi...mnayoyafanya haya ni uonevu, dhambi, ukatli, uuaji, ubakaji wa demokrasia.

Wanafanya yote haya sababu washatujua watanzania ni wanyonge sana, hatuna cha kuwafanya.! Wanaamua lolote walitakalo tu
 
Back
Top Bottom