Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Ni kawaida ya chaguzi zote mbwembwe za vyama vya siasa huwa zinatawala huku vyombo vya usalama navyo vikitoa matamko hadi magari ya washa washa.

Lakini hadi muda huu tunasubiri taarifa ya matokeo ya awali na kamata kamata. Vipi leo uchaguzi umeendeshwa kwa haki na uhuru ama.

Rais wetu mpendwa alishasema Watanzania sio wajinga. Kweli nimeamini. Serikali jitafakarini siasa za ujanja ujanja zimepitwa na wakati.

Hao waliozila kupiga kura si wajinga kuna siku watadai haki yao ya kucahgua kwa nguvu.
 
.
IMG-20191124-WA0093.jpeg
 
Back
Top Bottom