Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kweli maana mnafiki huwa hana aibu
Ccm bila aibu yatasema yameshinda ushindi wa kishindo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm bila aibu yatasema yameshinda ushindi wa kishindo.
Wanatumia calculator ya mkoloniMaajabu yatakuja kwenye mahesabu....!!
Kwa jinsi ninavyoona ccm imezoa kura Zaidi ya million tisa
Kweli nimeamini hii nchi WApinzani bado wananguvu sana....Ingekuwa kweli watuwanasapoti CCM nadhani wangejitokeza kwa wingi
Labda laki 3Wapigaji kura hata million 2 hawajafika
Maajabu yatakuja kwenye mahesabu....!!
Hahahaaa watashinda kwa kishindoWasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246
Hahahaaa watashinda kwa kishindo
Mfalme JUHA, alipo anaona aibu sana..!
Alafu hapo wataibuka na kujitapa wameshinda kwa TKO
Yaani tuna serikali ya hovyo haijawahi kutokea duniani. hata somalia hawana akili hizi.Katika Kipindi ambacho Serikali imepoteza Hela huku Tunaona Kwa Macho Ni leo
Wamekataliwa hata na makada wao wenye ufahamu kidogo