Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Sasa kinachowafanya muwazuie mikutano ya kisiasa ya n'je ya ndani kwa miaka minne ni nini we Pandawandigwa?.
Tuache unafik, ivi kitugani cha msingi Utakacho kwenda kuwaambia wananchi ili wasi ichague CCM kwa sasa?
 
Wasimamizi wa uchaguzi wakisubiri wapiga kura katika kituo cha Maumba kilichopo mtaa wa Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace #MwananchiUpdatesView attachment 1271246
Ina wezekana hawa hawakujua kwamba shughuli ilisha malizikia kwenye ngazi ya uteuzi. Kinacho fuata ni matumizi mengine mabaya ya maneno ya mungu kwa kisingizio cha kuapa.
 
Kwakipindi cha sasa hakuna chama cha upinzani chenye nguvu kinachoweza kuishinda CCM , Ata wakifanya kampeni mwaka mzima.
Shida iliyopo hakuna tena watu wanaoweza kujenga hoja kama alivyokua Dr Slahaa. Yaani sasaivi wapinzani hojazao ni kupinga yale anayofanya JPM au wanasubiri kiongozi wa serikali ahutubie wao watafute makosa kwenye hotuba ili uwe hoja.
Unamsifia Slaa baada ya kufika bei ?!. Alipokuwa Cdm mlimnena hovyo iweje leo ?!
 
Mkuu jifurahishe nafsi japo ukweli unaujua vzr lakini umeamua mnafiki ili umfurahishe mtakatifu wenu jiwe
Mim sio CCM ila Yapo Mambo mengi Mazuri anayo fanya JPM na baadhi ya Mawaziri yananifurahisha. Naomba unitajie chama chochote cha upinzani kinachofanya kazizake za siasa kama taasisi? Uwezi kuwashinda CCM kwa ubabaishaji.
 
IMG_20191124_135119.jpg
Tuache unafik, ivi kitugani cha msingi Utakacho kwenda kuwaambia wananchi ili wasi ichague CCM kwa sasa?
Mbona wamegoma kujitokeza kwa wingi kwenye uchaguzi huu ili kuwaunga mkono hata ccm wenzenu hawapo.
 
Sasa kama hawana nguvu hiyo mbona mnawanyima kufanya mikutano hata ya ndani? Hata kutembeleana wao kwa wao mnawarushia maji ya kuwasha. Kama mnapendwa, woga wa nn? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwakipindi cha sasa hakuna chama cha upinzani chenye nguvu kinachoweza kuishinda CCM , Ata wakifanya kampeni mwaka mzima.
Shida iliyopo hakuna tena watu wanaoweza kujenga hoja kama alivyokua Dr Slahaa. Yaani sasaivi wapinzani hojazao ni kupinga yale anayofanya JPM au wanasubiri kiongozi wa serikali ahutubie wao watafute makosa kwenye hotuba ili uwe hoja.
 
redio,
Unapo mfunga mtu miguu halafu unamwambia tukimbizane unategemea nini? Tena unajua umesha mfunga miguu na pia bado hujiamini unamfunga kwenye kisiki na bado unajisifia akili nyingi? Watu hawapingi yanayo fanyika, bali wanahoji utaratibu unao tumika katika kuyafanya. Maana kama nchi ina utaratibu iliyojiwekea namna gani mambo yafanyike, basi ni lazima utaratibu ule ufuatwe.
 
Mim sio CCM ila Yapo Mambo mengi Mazuri anayo fanya JPM na baadhi ya Mawaziri yananifurahisha. Naomba unitajie chama chochote cha upinzani kinachofanya kazizake za siasa kama taasisi? Uwezi kuwashinda CCM kwa ubabaishaji.
Mambo yapi mazuri aliyoyafanya? Kushindwa kuajiri miaka minne, kushindwa kuwapa mikopo wanafunzi wa elimu, kushindwa kupandisha madaraja miaka minne, kuharibu uchumi na kusababisha biashara zifungwe nchi nzima,kuharibu uchumi na mzunguko wa fedha, kuwabambikia umaskini watanzania ambao hawakuwa nao, kuwabambikia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, kukiuka haki za binadamu nchini, kuvunja katiba na sheria, kuharibu mahusiano ya kimataifa na wawekezaji haya ndio mambo mazuri aliyofanya?
 
Kama hawatojifunza the time will tell.
Upinzani uku Tanzania bara ndio ulitakiwa uwe umejifunza kwa CUF Zanzibar, kama hawakujifunza matokeo ya kususia uchaguzi kwa CUF Zanzibar hawawezi kujifunza lolote katika siasa.
Hakuna jambo jipya ambalo upinzani utafanya Tanzania bara katika Siasa ambalo CUF Zanzibar hawaja wahi kufanya. Upinzani Tanzania bara una wigo mpana wa kujifunza kwakua hawana jambo jipya watakalo fanya.
 
Hata wenyewe hawajaonesha wakipiga kura.

Watu wanataka wachague wamatakae
 
Dodoma Area D - mtaa wa Kanisa la Rose Muhando,walipita wanagonga geti wanakuuliza 'USHAPIGA'?
Hata huku kwetu wamepita nyumba kwa nyumba kuomba wananchi waende wanakuuliza kama hujaenda nini shida? Raia tumewakaanga balaa uso wa mbuzi hakuna kwenda.
 
Back
Top Bottom