Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Akili ni nywele, kwahiyo hakuna wasukuma, waha, wanyamwezi na wengineo makabila ya kanda ya ziwa waislamu?
Shuleni mlienda kusomea upadre?
Kwamba makbila hayo yooote woooote ni nasara?
Njoo huku uone wamasai walivyosilimu na kusilimisha jamii yao
Endelea kuminyana
 
Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na β€˜no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Unaota ww.
 
Bashungwa mwenendo wake utamuweka kwenye hatari ya kusakamwa na wataka Urais. Seems ni kijana aliyeandaliwa muda mrefu. Unfortunately usikute hata yeye anashangaa lakini possibly ni product ya church na mfumo.
 
Kwani hawa wameteuliwa?,hujui kama wamepigiwa kura?,au hujui tofauti kati ya kuteuliwa na kupigiwa kura?
 
LEO HAZISIKIKI KELELE ZA UDINI πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
Hazisikiki sababa watu hawakuchujwa kwa misingi ya udini. Pitia najina yote miatatu na ushee yaliyopigiwa kura utaona wamo wa dini zote. Watu huwa wanalamika sio katika kuchagiliwa bali mchujo ambapo executive huanua nani aruhusiwe kugombea na nani asiruhusiwe. Kwenye mchujo inatakiwa wapitishwe wa dini zote na kisha wapiga kura waamue wenyewe.
 
Weka na najina ya Zanzibar basi jabla hujalaumu
 
Unadhani wanagaiwa matako na wangapi? Waliopo hata matako hawana, na wenye nayo hata hawapo huko, it takes alot....maisha sio rahisi hivyo.

Hata hivyo hilo tako sina 🀣
 
Udini Mara nyingi huwa nasema unaletwa na majitu ya RC na kipumbavu mingine..

Yaani upigwe kwenye kura uje kusingizia udini,binafsi siwezi mchagua mtu kwa kuleta huo upuuzi wake,dini zenu zinanisaidia Nini Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…