Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Tafsiri ya hizi kura ina mengi sana. Mwendazake bado ana nguvu kwenye chama.

Akina Makamba hawajawahi kuwa na ushawishi ndani ya chama, hata hapo walipofika ni matokeo ya mbeleko nyingi tu na majina ya wazazi wao(ambacho sio kitu kibaya).
 
Hivi NEC - National Executive Council - CCM kwa kiswahili ndiyo Kamati Kuu [KK] ya CCM siyo?

Kama Mch. Josephat Gwajima kaingia huko, namwombea kwa Mungu wake aje kuwa mgombea Urais mwaka 2025...

Naahidi, sijawahi kumpa kura yangu mgombea yeyote wa CCM tangu nianze kupiga kura mwaka 2000 kwa ngazi zote udiwani hadi u - Rais..

Lakini akigombea Mch. Josephat Gwajima, nitampa ✓ kura yangu hukohuko akiwa CCM..

Hili naliahidi leo tarehe 8/12/2022✓✓✓✓✓

Lakini huko CHADEMA kama watamweka Jembe ulaya Tundu Lissu achuane naye, nitapata wakati mgumu sana kuamua, lakini mwisho wa siku Mch. Josephat Gwajima ataponzwa na u - CCM na atanisamehe tu...!!
 
Yule boya aliebebwa na wenzake ukumbini akabaki kitambi nje ni nani?
 
Mpka mwita
 
Ana degree? Nasikia lazima uwe na shahada angalau moja
 
Gwajima hawezi kuwa Rais hata mwaka 3000,,
Baada ya awamu ya sita,, kuna vijana, akina mwigulu, makonda, chongolo, etc,,
Hivyo ndoto zako sahau
 
Una macho sana.

Ktk list hiyo mojawapo ndiye AJAYE baada ya 2026.

Tunza hiyo. Ameeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…