johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sukuma kingdomSukuma gang sio kabila ni ideology we mbwiga mwenzangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma kingdomSukuma gang sio kabila ni ideology we mbwiga mwenzangu.
Hao wa kuzugia. MSUKUMA NA GWAJIMA.Sukuma kingdom
Hata hajulikani hapa Tarime.Atamuondoa halafu waitara mwita ni maskini kwa hilo libilionea na kwa wanalikubali sana ni kundi la Lameck Airo lake zone
Waislamu wapo wengi hiyo mikoa ya pwani, huku kwingine ni wagalatia tupu.Nani alikudanganya kuwa bara Wakiristo ni wengi kuliko Waislamu?-
80% wa wapi hapo? Acha uongo wako.Waislamu walivyotaka tuhesabiwe kidini kwenye sensa wakristo mlipinga sanaaaa,
Hizo data mmetoa wapi?
Ukweli waislamu ni 80% ukibisha mchawi
Waislamu ni wengi zaidi nchi nzima, wanafuatia wapagani, wakiristo ni kundi la tatu kwa wingiWaislamu wapo wengi hiyo mikoa ya pwani, huku kwingine ni wagalatia tupu.
Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Ina maana kapita.....jina lake tafadhali.Vunjabei sio kijana wa hovyo kuliko niliowataja.
Hivi NEC - National Executive Council - CCM kwa kiswahili ndiyo Kamati Kuu [KK] ya CCM siyo?Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Namaanisha uwiano wa dini kwenue kikao Cha halmashauri kuu as Tanzania? Maana angalau kikao kingekuwa na 50% kwa 50%.Unataka kusema watanganyika wote ni wakristo.
Kapita kuwelekea kwenye maduka yake kusalimia wafanyakaziIna maana kapita.....jina lake tafadhali.
Mpka mwitaMkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730
Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Ana degree? Nasikia lazima uwe na shahada angalau mojaHivi NEC - National Executive Council - CCM kwa kiswahili ndiyo Kamati Kuu [KK] ya CCM siyo?
Kama Mch. Josephat Gwajima kaingia huko, namwombea kwa Mungu wake aje kuwa mgombea Urais mwaka 2025...
Naahidi, sijawahi kumpa kura yangu mgombea yeyote wa CCM tangu nianze kupiga kura mwaka 2000 kwa ngazi zote udiwani hadi u - Rais..
Lakini akigombea Mch. Josephat Gwajima, nitampa ✓ kura yangu hukohuko akiwa CCM..
Hili naliahidi leo tarehe 8/12/2022✓✓✓✓✓
Lakini huko CHADEMA kama watamweka Jembe ulaya Tundu Lissu achuane naye, nitapata wakati mgumu sana kuamua, lakini mwisho wa siku Mch. Josephat Gwajima ataponzwa na u - CCM na atanisamehe tu...!!
Gwajima hawezi kuwa Rais hata mwaka 3000,,Hivi NEC - National Executive Council - CCM kwa kiswahili ndiyo Kamati Kuu [KK] ya CCM siyo?
Kama Mch. Josephat Gwajima kaingia huko, namwombea kwa Mungu wake aje kuwa mgombea Urais mwaka 2025...
Naahidi, sijawahi kumpa kura yangu mgombea yeyote wa CCM tangu nianze kupiga kura mwaka 2000 kwa ngazi zote udiwani hadi u - Rais..
Lakini akigombea Mch. Josephat Gwajima, nitampa ✓ kura yangu hukohuko akiwa CCM..
Hili naliahidi leo tarehe 8/12/2022✓✓✓✓✓
Lakini huko CHADEMA kama watamweka Jembe ulaya Tundu Lissu achuane naye, nitapata wakati mgumu sana kuamua, lakini mwisho wa siku Mch. Josephat Gwajima ataponzwa na u - CCM na atanisamehe tu...!!
Nilisema mapemaaaa!!!Nina hakika Samia na timu yake wanayajadili haya matokeo
huyu kijana wao alikuwa mpuuzi ndio maana hatunayeWakatoliki kuna haja ya kupozwa
Wanamajonzi kijana wao John hajamaliza awamu zake mbili
Una macho sana.Hivi NEC - National Executive Council - CCM kwa kiswahili ndiyo Kamati Kuu [KK] ya CCM siyo?