Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

As long kuna Makamba, Nape, Musukuma na Kinana. Nchi itaendelea kuwa sehemu salama bila wasiwasi wowote.
 
I feel attacked! 😭😭😅😅🤣🤣🤣
😂😂😂
Huo ndio ukweli. Ccm ipo hivyohivyo miaka na miaka. Narudia tena, ccm ni kwa ajili ya wafuatao
1. Wakubwa
2. Watoto wa wakubwa
3. Watu wenye connection na wakubwa
4. Watu wenye HELA wenye connection na wakubwa.


Zaidi ya hapo pambana na hali yako.


NB: binti kiziwi kama una tako kubwa laini, hebu gawa TAKO kwa mkubwa, uone kama haupati uteuzi au viti maalum 2025 😂😂 au cheo chochote 😂😂😂
 

Ukiona panya anamtukana paka "aahh mshenzi wewe,huna lakunifanya" ujue shimo lipo karibu. Siasa mchezo mchafu, wameona watoe shukrani kwa Kanda ya ziwa!!
 
Sema hicho kitu tupone.
 
Yaani hawa jamaa, sawa nawajua, lakini leo waminifikirisha zaidi na kunifanya kuendelea kuzidi kutafuta hela. Wajumbe si watu wazuri kabsaa kwa wasio na hela au cheo.
 
Wagalatia ni 76% huku wale wengine ni 22%
Hizo hesabu za wapi?2% ulizobakiza ni za nini?Watatu assuming sio wakristo waliobaki 11 tu assume ni wakristo.Hizo asilimia umehesabu vipi?
 
William Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.

Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.

Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.

Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.
 
Vunjabei huyu huyu anaevimba insta na kutukana vijana wenzake wasiokua na pesa za kuonga madem kua ni malofa? Au
Yeye pia ni wa hovyo ila hajawazidi hao niliowataja,ujue chama cha mambuzi kinahitaji uwe hovyo kupitiliza ili uweze kula hovyo hovyo kama mbuzi😀
 
Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5

Huyo jamaa aliyeongoza ni muuza mistimu Njombe. Huyo mwingine hata uki mgoogle huyupo. Kina Mwigulu wana mengi ya kujifunza.
 
Kanda ya ziwa utarukaruka ila utaelewa kuwa ndo kanda yenye nguvu! Si umeona Makamba kapitwa kura mpaka na akina Musukuma na Gwajiama! Ndoto za huyu Bwana mdogo zipo mashakani sana kadri miaka inavyoenda ndo atazidi kuangukia pua!
Mmeingizwa mkenge nanyi mkaingia!??
Jiulize kwanini alipotajwa Nape na Makamba ukumbini watu walipiga kelele??
Usicheze na siasa..
 
Ndio maana Akina aisha jumwa au junet mohamed nao wanatinga kanisani maana hao ndio majority yaani uislamu east africa kiukweli haukuenea sana. Toka ukoloni na sample ni hizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha nobody kwenye chama. Ccm ni chama cha wakubwa, watoto wa wakubwa, wenye connection na wakubwa na watu wenye pesa ambao wana connection na wakubwa.



Zaidi ya hapo, pambana na hali yako.
Yaani mtu anamuona kabisa Kinana karudi kundini halafu anasema no body!!
Hiiiiiiiii heeee heeee...
 
Una macho mazuri sanaa..
Kikao cha genge la wahuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…