Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Tatizo basic science ya CO ipo shallow sana ambayo ndiyo msingi mkuu wa tiba, imagine CO hasomi biochemistry utawezaje ku anaylse vipimo/majibu kama Liver function test, renal function test, lipid profile etc..achilia mbali hayo ma CO wengi vitu basic kama majibu ya Full blood picture kuya analyse mtihani, urinalysis ndio kipengele, then ulinganishe na MD

Kuhusu ku-upgrade kwa miaka 2/3 labda uwe AMO tu ambayo imefutwa.

Kuna mdau kasema ukitaka comparison vizuri uliza mtu aliyekua CO then akasoma MD.
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozi inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wapi waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O ni kama advanced Diploma
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozo ya NACTE inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wako waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O anamzidi C.O,A.M.O ni advanced Diploma
 
Kwani sheria inayosimamia na kutambua haya masuala inawatambuaje hao wahusika ma CO na ma MD?, I'm sure wameelezewa mahali ni vile sina muda mzuri tu wakufuatilia ila nikifuatilia nitawajuza.

Nadhani kuna mmoja ni para-professional hapo na bila shaka ni CO, sina upande ila nimesema tu waungwana wa Afya.
 
Kuna clip niliona wanashangilia baada ya paper kumbe walikua wanatambua walichokifanya, kazi kwao sasa
 
680,000 × 2 = 1,360,000

1,480,000 - 1,360,000 = 120,000

Acha ushabiki maandazi
 
MD haitolewi eti kwa sababu umesoma MUHAS,St JOSEPH au UDOM.......MD hutolewa kwa chuo chochote kile Tanzania kilichokizi vigezo vya T.C.U vya kutoa kozi ya MD.
Mtu hawi MD eti kwa sababu anajua kufanya procedure nyingi sana ama Cheti chake kina A nyingi sana,ama anajua vitu vingi sana,mtu huwa MD sababu amesoma chuo kinachotambulika na serikali na kufaulu masomo yake ya chuo semester kumi.
......[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205]lazima ulitambue hilo,na hayo yote hayaondoi zana kula C.O sio daktari
 
680,000 × 2 = 1,360,000

1,480,000 - 1,360,000 = 120,000

Acha ushabiki maandazi
Na hii haibadilishi ukweli kua mshahara wa C.O uzidishe mara mbili bado MD atakua anamdai chenji C.O
By the way,C.O sio daktari[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205]
 
Naona nacte wameanza kuwa wakali, yajayo yanasikitisha
Wamechelewa sana,wangefuta yote tu udanganyifu ni mwingi mno kwa wote waliofanya mitihani iliyopita. Mtu toka mwaka wa kwanza mpaka mwisho anapata karai kwenye kila somo,mtihani wa mwisho zote anapiga A tupu,kweli???
 
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozi inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wapi waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O ni kama advanced Diploma
Co sio Daktari, Ukitaka udaktari lazima usome Md
 
hapa unaweza kukuta tunabishana na dogo wa form4 aliyefeli anasubiri kwenda kusoma CO ajiite daktari , maana inaonekana hata haelewi kinachoendelea kwenye ulimwengu wa medicine , tumuache tu

nakazia pia, CO sio daktari
 
Mimi ni Co serikalini, mwaka wa 3 kazini natambua Co sio daktari mpaka kusoma Md mbeleni Inshallah
 
Mimi ni Co serikalini, mwaka wa 3 kazini natambua Co sio daktari mpaka kusoma Md mbeleni Inshallah
Angalau wewe umelitambua hilo.! Kuna watu wanakaza shingo na kuamini CO ni daktari.!
 
Mimi ni Co serikalini, mwaka wa 3 kazini natambua Co sio daktari mpaka kusoma Md mbeleni Inshallah
Mkuu pambana upate nafasi......Na mara nyingi C.O wengi wa serikalini wakienda MD,hupenda tena hadi super specialist.......kila la kheri mkuu
 
Huyo Danpol ni mpuuzi na hajui kitu! Nadhani kaishia vidudu tu. Yeye anadhani serikali imlipe Prof afundishe Clinical medicine! Hajui mtu anafundishwa na level moja mbele yake. Au aliiba vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…