DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Kimsingi kuna makosa , CO hatakiwi soma miaka mitano anapotaka chukua degree, miaka miwil mitatu nyuma ilikuwepo hoja kwamba mtu kama amepitia CO basi wakat anaenda MD asome miaka mitatu na kama itakua ngumu basi waendelee na level zao hizo hizo za NTA levels
Upande wa Nurses nakubaliana nawe, nimeliona wakati niko clinical rotations, wanapiga kazi na wana uwezo mkubwa sana , alafu unakuta ana diploma tu ,sijui kwann wanalipwa mishahara midogo , wanapiga kazi sana hawa watu kuliko doctors
Tatizo basic science ya CO ipo shallow sana ambayo ndiyo msingi mkuu wa tiba, imagine CO hasomi biochemistry utawezaje ku anaylse vipimo/majibu kama Liver function test, renal function test, lipid profile etc..achilia mbali hayo ma CO wengi vitu basic kama majibu ya Full blood picture kuya analyse mtihani, urinalysis ndio kipengele, then ulinganishe na MD
Kuhusu ku-upgrade kwa miaka 2/3 labda uwe AMO tu ambayo imefutwa.
Kuna mdau kasema ukitaka comparison vizuri uliza mtu aliyekua CO then akasoma MD.