Nimekupa maana ya dokta kuwa ni mtu aliyequalify kutibu watu na maana nyingine ni mtu aliyefikia levo za chuo kikuu kama ambavyo unasema.Udaktari si jina ni either uwe MD,BVM au PhD...na kwa maana hio CO sio daktari
Nimekuhoji maswali unatakiwa ujibu hapa ili kutetea hoja zako,hakuna sehemu nimesema mimi ni CO au MDKama hujui tofauti ya medicine na clinical,sidhani kama wewe unaweza kua sio CO
Mtu anakuwa daktari pia kwa kule kuqualify kwake kutibu watu na hii ni maana ambayo huwezi kupinga,na hii ndio maana ya udaktari ambayo mpaka CO anahaki ya kuitwa daktari.Mtu hawezi kuwa daktari sababu anamsaidia MD,BVM na PhD.
Na sisi tunasema CO ni madaktari na tunaendelea kuwaita huku mtaani mana wanatutibia vizuri wee endelea kuwaonea dongo[emoji23][emoji23]CO sio daktari
Hivi MCT wana ukichwaa kama wewe kuweka hizo faculty sawa kwenye ishu ya tasnia?Udaktari si jina ni either uwe MD,BVM au PhD...na kwa maana hio CO sio daktari
Bila shaka ushapewa muongozo wa utofautiKwahiyo CO sio daktar daa?
Tunaitwa Madaktari na tunaitika vizuri tu na huna kitu unaweza Fanya, sisi ndo tunaongoza Zahanati na kila kitu kinaenda sawia kabisa, vifo vingi vipo mijini ambako nyie MD mpo na vijijini vifo vinazid kupungua ndo sisi tupo huku sasa, MD za Ajuko na St Francis ndo mtutishie sisi? Nenda huko Wew, MD kitu gani siku hizi, mmejazana dispensary binafsi mnalipwa laki 3-5, ukiwa specialist siku hizi ndo Daktari, MD kawaida Sana wala usipandishe mabega, labda km ukoo wenu upo peke yako ndo uende ukawatishie huko sio kuvimba kwenye mitandao hasa JF kisa MD, acha ulimbukeni.Nimekujibu poa tu.....kua CO sio daktari,ama?
umeongea kwa machungu sana mganga ,poleTunaitwa Madaktari na tunaitika vizuri tu na huna kitu unaweza Fanya, sisi ndo tunaongoza Zahanati na kila kitu kinaenda sawia kabisa, vifo vingi vipo mijini ambako nyie MD mpo na vijijini vifo vinazid kupungua ndo sisi tupo huku sasa, MD za Ajuko na St Francis ndo mtutishie sisi? Nenda huko Wew, MD kitu gani siku hizi, mmejazana dispensary binafsi mnalipwa laki 3-5, ukiwa specialist siku hizi ndo Daktari, MD kawaida Sana wala usipandishe mabega, labda km ukoo wenu upo peke yako ndo uende ukawatishie huko sio kuvimba kwenye mitandao hasa JF kisa MD, acha ulimbukeni.
Tunaitwa Madaktari na tunaitika vizuri tu na huna kitu unaweza Fanya, sisi ndo tunaongoza Zahanati na kila kitu kinaenda sawia kabisa, vifo vingi vipo mijini ambako nyie MD mpo na vijijini vifo vinazid kupungua ndo sisi tupo huku sasa, MD za Ajuko na St Francis ndo mtutishie sisi? Nenda huko Wew, MD kitu gani siku hizi, mmejazana dispensary binafsi mnalipwa laki 3-5, ukiwa specialist siku hizi ndo Daktari, MD kawaida Sana wala usipandishe mabega, labda km ukoo wenu upo peke yako ndo uende ukawatishie huko sio kuvimba kwenye mitandao hasa JF kisa MD, acha ulimbukeni.
Hahhaha hizi ligi za kisiasa hiziumeongea kwa machungu sana mganga ,pole
ila ujue tu we sio daktari
mimi sio MD wala CO.. kuna profesa mmoja anasemaga MD ni walosoma muhas,cuhas na kcmc basi
..wengine ni COs waliochangamka ..narudia MD=General Practitioner GP hana tofaut na CO kazi yao ni kuandika rufaa kwenda kwa specialist... ukitaka ukuu.. MD piga specialization
Sawa, Najua. Uchungu wa nin? Nipo huku kijijin I/C wa dispensary, naletewa kuku na mahindi na wanakijiji wangu, nimewekewa pesa ya kutosha kwenye acc ya zahanat na serikali yangu pendwa, mimi kazi yangu ni kutumia pesa kuleta tija kt afya za wanakijiji hawa wa Tanzania. I'm happy to be a Clinical Officer na kufany kazi na hawa wanakijiji, by the way wananiita Daktari, vp MD wangu niwazuie?? Maana ni km unateseka hiviumeongea kwa machungu sana mganga ,pole
ila ujue tu we sio daktari
Sawa, Najua. Uchungu wa nin? Nipo huku kijijin I/C wa dispensary, naletewa kuku na mahindi na wanakijiji wangu, nimewekewa pesa ya kutosha kwenye acc ya zahanat na serikali yangu pendwa, mimi kazi yangu ni kutumia pesa kuleta tija kt afya za wanakijiji hawa wa Tanzania. I'm happy to be a Clinical Officer na kufany kazi na hawa wanakijiji, by the way wananiita Daktari, vp MD wangu niwazuie?? Maana ni km unateseka hiviumeongea kwa machungu sana mganga ,pole
ila ujue tu we sio daktari
waganga bwana , yani unajisifia kua Incharge wa dispensary yenye chumba na sebuleSawa, Najua. Uchungu wa nin? Nipo huku kijijin I/C wa dispensary, naletewa kuku na mahindi na wanakijiji wangu, nimewekewa pesa ya kutosha kwenye acc ya zahanat na serikali yangu pendwa, mimi kazi yangu ni kutumia pesa kuleta tija kt afya za wanakijiji hawa wa Tanzania. I'm happy to be a Clinical Officer na kufany kazi na hawa wanakijiji, by the way wananiita Daktari, vp MD wangu niwazuie?? Maana ni km unateseka hivi
umeongea kwa machungu sana mganga ,pole
ila ujue tu we sio daktari
Haha sawa daktariTunaitwa Madaktari na tunaitika vizuri tu na huna kitu unaweza Fanya, sisi ndo tunaongoza Zahanati na kila kitu kinaenda sawia kabisa, vifo vingi vipo mijini ambako nyie MD mpo na vijijini vifo vinazid kupungua ndo sisi tupo huku sasa, MD za Ajuko na St Francis ndo mtutishie sisi? Nenda huko Wew, MD kitu gani siku hizi, mmejazana dispensary binafsi mnalipwa laki 3-5, ukiwa specialist siku hizi ndo Daktari, MD kawaida Sana wala usipandishe mabega, labda km ukoo wenu upo peke yako ndo uende ukawatishie huko sio kuvimba kwenye mitandao hasa JF kisa MD, acha ulimbukeni.
Vipi aliyesoma MBBS naye sio Daktari?Chuo gani hapa Tanzania kinatoa bachelor of clinical medicine?
Daktari ni,MD,BVM na PhD fullstop
Kwa maana hii naweza kuwa MD kwa heshima ? kwa mujibu wako ? Bainisha hapa ni kipi hutolewa kwa heshima bila kupita darasani na ni kipi ni lazima upite darasani ndipo upewe ?.Mtu hawezi kuwa daktari sababu anamsaidia MD,BVM na PhD.........hizo mtu husomea chuo au hupewa kwa heshima[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205]
Watatoana damu kwa sababu ya vitu vidogo sana.Hamchoki kubishana eeh