safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Nimekupa maana ya dokta kuwa ni mtu aliyequalify kutibu watu na maana nyingine ni mtu aliyefikia levo za chuo kikuu kama ambavyo unasema.Udaktari si jina ni either uwe MD,BVM au PhD...na kwa maana hio CO sio daktari
Nikakuambia kwamba kwa maana yako wewe sio sahihi kwa Co kujiita daktari kwa sababbu hana degree.
Lakini pia nikakuambia kwa maana ya doctor kuwa ni mtu anayetibu basi CO anastahiki kujiita daktari,hili hujaweza kuliponga kwa hoja bali unababaika tu daktari,nenda kwa hoja daktari.