Sasa Kama deep si nao wafanye wanayofanya MD, KIUFUPI HAWALINGANI MSILAZIMISHEWEWE UNAONEKANA NI MFAMASIA AMBAYE HAPENDI KUONA MA CO KUITWA MADAKTARI ..TOFAUTI KUBWA YA MD/NA CO NI KATIKA KUINGIA DEEP KWENYE KUSOME , ,MD WANASOMA DEEP ZAIDI KULIKO CO ILA VITU NI VILE VILE NDIO MAANA WOTE NI MADAKTARI TOFAUTI NI LEVEL ZA ELIMU
Ni sawa Ila clinical officer sio medical Doctor ....Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.
Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.
MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.
Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k
Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.
Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.
Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Hivi CO ana majukumu gani hospital?Na utamjuaje akiwa kazini hospital?Nieleweshe kiundani,tupate faida,wengi tunashindwa kuwatofautisha na daktari.CO sio daktari. Toa hayo maneno 'matokeo ya udaktari".
MD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBSKuna kazi CO hawezi fanya isipokuwa MD mfano upasuaji na nyinginezo.
Wanatofautiana katika viwango kutokana na ngazi ya kimasomo kama ilivyo kwa Mwalimu wa shule ya msingi ambae aliishia elimu ya kufundisha shule ya msingi na Mwalimu wa sekondari au high school.
Huo utofauti ni kwa sababu ya level ya elimu.Kuna kazi CO hawezi fanya isipokuwa MD mfano upasuaji na nyinginezo.
Wanatofautiana katika viwango kutokana na ngazi ya kimasomo kama ilivyo kwa Mwalimu wa shule ya msingi ambae aliishia elimu ya kufundisha shule ya msingi na Mwalimu wa sekondari au high school.
Mambo ya nacte ya nini acha watu wafanye mitihani kwenye vyuo husikaNimepewa taarifa kua matokea yamefutwa , hivyo wanafunzi wote wanapaswa kurudia mitihan yao kuanzia cat one mpaka cat two then ndo watafanya nacte
Kuhusu vituo vya Afya kujengewa uwezo nalifahamu vizuri, ila kumbuka kituo cha afya kuna MD achilia mbali AMO ambao wanaishia baada ya kufutwa, swali la msingi hizo caesarean section wanafanya ma C.O kwa level ya vituo vya afya, jibu ni no wanafanya MDs na AMOs (wakiwepo), so suala sio ku-upgrade kituo cha afya ila elimu ya C.O bado sana kupiga procedure kubwa kama C/S.Unafaham siku hz vituo vya afya wanafanya haya? Mkuu, jitahd kua updated kidogo
Na mtu aliesoma CO before 2018 sio sawa na hawa wa post 2018 , vituo vya afya vimewezeshwa sana mkuu , kuna baadhi ya vitu ilikua n lazima ufanyie hospital za wilaya+ saiv kwenye vituo vya afya unafanya , mambo yanabadilika , kituo cha afya saiv unaweza dhan n hospital ya wilaya
Sasa we mwenyewe si unaona tofauti tu ya miaka huyu miaka 3 mwingine 5, unadhani kutakua hakuna utifauti,Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.
#MaendeleoHayanaChama
CO ni Tabibu sio daktari.Wivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?
#MaendeleoHayanaChama
Hata sijakuelewa, unaongelea dhima au unaongelea maarifa??Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.
Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.
MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.
Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k
Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.
Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.
Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Hata MD ni wa kawaida mno.Kada ya ma CO au kada ya MD au kada ya Afya?
Ulishaona wapi mtu aliyesoma bachelor akawa daktari?Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Hata MD ni wa kawaida mno.
Na mshahara ni mmoja etii???[emoji23]Huo utofauti ni kwa sababu ya level ya elimu.
Lakini kazi yao ni moja tu wote
Hiyo unasema wewe.Na mshahara ni mmoja etii???[emoji23]
Mwalimu wa shule ya msingi wa diploma ana dhima sawa(kufundisha)na mwalimu wa shule ya sekondari mwenye degree ana dhima ile ile ya kufundisha wanafunzi japokuwa maarifa yametofautiana.Hata sijakuelewa, unaongelea dhima au unaongelea maarifa??
Kwani mwimu wa chuo kikuu na mwalimu wa shule ya msingi si wanatambika kama wpte ni waalimu japokuwa level zao za elimu tofauti ?Sasa kama MD kamzidi CO maarifa watakuaje sawa kiutendaji kisa eti dhima ni sawa?!!
Bro,unajua ulichokiandika ama ilimradi tu?! Unaweza nipa tofauti ya MD na MBBS?!MD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBS
Mkuu, nina uhakika kwa asilimia 90, watakao elewa hiyo ni wachache.Ulishaona wapi mtu aliyesoma bachelor akawa daktari?