Upo sahihi kabisa mkuu. Usimamizi hafifu tu wa baadhi ya wazazi.Huku kayumba sisi wazazi tunakimbia majukumu ya kuwasimamia watoto. lakini huku kayumba ukiamua kuchukua majukumu ya mzazi nyumbani shule za kayumba mtoto anatoboa vizuri sana
Mkurugenzi wa necta ni mwislam kichaka walichokuwa wanatumia kujificha kimechomwa moto watafute sababu nyingine za kifeliWakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
View attachment 3138047
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.
BONYEZA HAPA KUSOMA MATOKEO
kwani miaka hii kuna kufeli lasaba, nidarasa nzima inahamia tu form wani, siyo kama enzi zetu ukimaliza lasaba ukafaulu kwenda fomu wani kijijini lazma waulizane kama wewe ni mtoto wa katibu kata au mtoto wa mwalimu mkuu tofauti na hapo lazma jina liuzwe fasta juu kwa juuMatokeo yanaonyesha Ufaulu kuongezeka sana.
Bofya hapo kuyapata.
kwa sasa EMS ni kutafuta tu misifa za kijingaNdio maana nasema hakuna umuhimu wowote wa kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za English Mediums.
HAYA sasa twende kazi. Toa watoto wako kwenye shule za EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Thank me later.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
100% Fact.kwa sasa EM ni kutafuta tu misifa za kijinga
Unaelewa kwa nini wakenya huwa wanakuja kuchukua top corporate post hapa kwetu,? Unakumbuka vodacom Ceo post ilivyoleta malalamiko. When people learn English language they automatically become smartMijadala yenyewe hii ya kina P.Diddy? Unataka mtoto wako aanze kulishwa propaganda za ushoga akiwa shule ya msingi eti eeh?
Endelea
hata hivyo wamechelewa ilitakiwa ndani ya siku 20 ili sisi tuliomitaani tupate hizo hela za preform one, najua sasa wazazi watapata presha kutuletea watotoMbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo
Asante Baba.Hongera Binti yangu kwa kupata A zote
atakuja kuajiriwa na aliyesomanaye kapata wastani wa DNamshukuru Mungu sana, binti yangu pia kapasua vema. All the best for her
Asante sana mama.Hongera sana mwanangu japo ulikuwa sant kayumba umetusua A zote Mungu akulinde kipenzi kwenye safari yako ya elimu
mgambo na vetaVyeti vya la saba vina tumika wapi ?
Sasa unakuta mko mzima una shule ya secondary moja tuMatokeo ya nyakati hizi hayana amsha amsha. Hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 matokeo ya darasa la 7 yalikuwa ni stori kubwa mno. Kwa sisi tuliomaliza miaka ya 90 ilikuwa ni kawaida shule kupeleka form one watoto wawili au pengine hakuna kabisa. Mimi nilifaulu la saba ila kuna wenzangu ambao hawakwenda kidato cha kwanza na kuishia la 7 kielimu ninawaheshimu mno... jamaa walikuwa vichwa hatari na huenda wangefika mbali sana kielimu kwa zile jitihada zao ila kwa sababu ya umaskini wa familia na serikali wakati huo ndoto zao zikazimika. Ninawapongeza baadhi waliopita shortcut ya kwenye ishu za utalii na kutoboa kimaisha kuliko tuliofika chuo kikuu.
100% Fact.
Kumbe unasoma ili kuajiriwa. πππUnaelewa kwa nini wakenya huwa wanakuja kuchukua top corporate post hapa kwetu,? Unakumbuka vodacom Ceo post ilivyoleta malalamiko. Whem peple learn language they automatically become smart
MidekooAsante Kwa Taarifa.
π€π€π€
SHIKAMOπ€π€π€
Matokeo yanaonyesha Ufaulu kuongezeka sana.
Bofya hapo kuya