Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Upo sahihi kabisa mkuu. Usimamizi hafifu tu wa baadhi ya wazazi.Huku kayumba sisi wazazi tunakimbia majukumu ya kuwasimamia watoto. lakini huku kayumba ukiamua kuchukua majukumu ya mzazi nyumbani shule za kayumba mtoto anatoboa vizuri sana
Wa kwangu huwa anakuja na homework kila siku namsaidia kumuelekeza namna ya kutafuta majawabu sio kumsaidia kumwandikia majawabu.
Matokeo yake nayaona ni mazuri sana anafanya vizuri mno darasani na ana uelewa wa mambo nje ya anachofundishwa darasani maana nimemjenga hivyo kuwa na general understanding wa masuala ambayo ni common kwenye maisha ya kila siku.