Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

Yeye alipata Division Gani Form four?
 
Nilikuwa moja ya shule za hapo mjini Tabora nikiwa mbele yako mwaka mmoja.
Tabu kabisa! Utanipandisha presha. Ulikuwa wapi: Uyui, Kazima au Milambo. Rafiki yangu mmoja aliyekuwa Milambo wakati huo alishafariki akiwa hakimu Mkazi ila alikuwa na potential ya kuwa jaji. Marafiki zangu wa Kazima na Uyui walikuwa na wa kupiga starehe zaidi ya shule.
 
Nilikuwa Uyui kwa bwana Patel.
 
Viongozi waliotoka Tabora boys ni kama wakina nani?
 
Viongozi waliotoka Tabora boys ni kama wakina nani?
Julius K Nyerere, Rashid M. Kawawa, Charles Makongoro Nyerere, Jenerali Ulimwengu, Lt Gen Yakubu Mohammed. ........
 
Kwa Zenji unawezakuta hii shule ni ya kwanza Kimkoa, Ole Sendeka angesoma Zenji angekuwa TO
Kuna mwanangu mzenji tulikua mishe mishe akaniomba niangalie matokeo ya mwanae huko Zenji salaleee dogo kala mswaki full ziro ziro hana hata d moja cha ajabu yule jamaa wala hakustuka sanaa akaendelea tu na mambo yake
 
Haya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
huu uzembe wanafunzi 31 unafelisha wote....hatua kali zichukuliwe
 
Uchungu kila mtu awe nao kwa familia yake.

Kama unasubiri mwanasiasa ajali familia yako utasubiri mpaka kiama.
 
Uchungu kila mtu awe nao kwa familia yake.

Kama unasubiri mwanasiasa ajali familia yako utasubiri mpaka kiama.

..hawa viongozi wameshamaliza uchungu wa familia zao. Wana kila sababu ya kumaliza machungu ya waliowachagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…