Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Wewe mhaya ni mnafiki sana.
Kwani wanaokosoa wote ni wapinzani?
Watanzania hawamtaki Mwigulu.
Sasa ni wajibu wa rais kumbadilisha.
Sera zote za uchumi ziko chini ya waziri.
 
Wewe mhaya ni mnafiki sana.
Kwani wanaokosoa wote ni wapinzani?
Watanzania hawamtaki Mwigulu.
Sasa ni wajibu wa rais kumbadilisha.
Sera zote za uchumi ziko chini ya waziri.
Mwigulu atakuwa waziri wa kwanza kwa ubora ana juhudi sana
 
Nyie saccos ya mbowe ni wabishi sana mnatuharibia utamaduni wetu wa kuheshiana kama watanzania😁😁😁
Bahati mbaya mie sina upande, atakaeganya vizuri anasifiwa, atakaetoa boko anaimbwa tu

Mimi siwezi kuwa mfuasi wa chadema, chama mwenyekiti kama baba mzazi, habadiliki mpaka kifo,
ila wakifanya poa nitawasifu
 
Acha kujipendekeza ,huu ndo uchawa wenyewe,kuitwa mama tozo mbona ni stara sana.
Kujipendekeza VP mm nimetoa maoni yangu juu ya tabia hii mbovu inayoibuka kwa kasi
 
Jiwe alikua hataki mazoea.alijua Watanzania ni wanafiki.
 
Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo
Kwa kifupi umekosa cha kutetea asubuhi hii. Ukiona watu wanalalamika fanya utafiti athari za kinacholalamikiwa.

Gharama zimepanda, mafuta yanatesa, bado hela yako ikatwe tozo bila kuifanyia faida. Kwa ujumla wachumi wa mama na yeye mwenyewe wamejiangusha mbele za wananchi.

Na ukishawakera lazima wakuite majina wanayoona yawafaa
 
Bahati mbaya mie sina upande, atakaeganya vizuri anasifiwa, atakaetoa boko anaimbwa tu

Mimi siwezi kuwa mfuasi wa chadema, chama mwenyekiti kama baba mzazi, habadiliki mpaka kifo,
ila wakifanya poa nitawasifu
😁😁😁Unajikana nafsi yako? Mawazo yako yamekaa kichagadema sana, kama sivyo basi karibu sana CCM
 
Gharama kupanda si kwa Tanzania TU ni Dunia nzima SS sio kisiwa mkuu
 
Halafu hii tabia ya kujipendekeza watoto wa kiume mnatudhalilisha sana baba zenu. Mwanaume unakuwa na tabia za kishosti shosti namna hio ni ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…