makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mimi si CHADEMA na siwezi kuwa CCM๐๐๐Unajikana nafsi yako? Mawazo yako yamekaa kichagadema sana, kama sivyo basi karibu sana CCM
Nimewahi andika Uzi humu kwamba kumpa uhuru mtu mjinga ni disaster,nikaenda mbali nikasema Mwendazake alikuwa sahihi ila tuu alivuruga uchumi..Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Mhhhhhh haya bwanaNawasalimu kwa jina la JMT

You deserve it.Nawasalimu kwa jina la JMT

Nawasalimu kwa jina la JMT

Wanaudhi sana
Tabia hii sio utamaduni wa mtanzania
Tukosoe kistaarabu sio matusi na kejeli mkuu
Mwigulu atakuwa waziri wa kwanza kwa ubora ana juhudi sana
Nimewahi andika Uzi humu kwamba kumpa uhuru mtu mjinga ni disaster,nikaenda mbali nikasema Mwendazake alikuwa sahihi ila tuu alivuruga uchumi..
Hakuna kitu utafanya ukiruhusu wajinga wawe na sauti watakuvuduga kwa kuwa wao ni shirt sighted.
Tabia ya mtanzania ni ukondoo sio...kila kitu hewala!Tabia hii sio utamaduni wa mtanzania
Usiwe na mashaka mm ni mtanzania mzalendo kabisa
Hamieni huko basi kama mnaona Kujitolea kuijenga nchi yako ni mzingo
Kabila ya mwendazake๐๐๐
Gharama kupanda si kwa Tanzania TU ni Dunia nzima SS sio kisiwa mkuu
Kujipendekeza VP mm nimetoa maoni yangu juu ya tabia hii mbovu inayoibuka kwa kasi
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Hakutishi Mtu mkuu lkn ni vema kuchunga ulimi wako
Acha kutumia uhuru vibaya mkuu ukuku wake Nini Sasa, maana hats Mimi sipendi kabisa kuitana Majina ya kuudhi