Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo

CCM imefanyiwa ustaarabu toka uhuru lakini malipo yake ni ufisadi na dharau. Bora Raia wameacha ustaarabu ili waheshimiwe.
 
Kama Kuna changamoto tushauri kistaarabu sio kejeli na majina ya hovyo hovyo

Yani mtu anakuibia halafu umshauri kistaarabu. Mimi mshahara wanting nakatwa paye asilimia 30 na TRA lakini Tena napigwa tozo 120,000 kila mwezi nikimbilie wapi?. Halafu anaibuka chawa na kutetea ujinga ili apate cheo.
 

Huyo magufuli angekuwa anapendwa kama unavyohadaa hapa angechezea uchaguzi? Magufuli ndio rais aliyekuwa anachukiwa zaidi, na ushahidi ni idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura, hadi ikabidi apike idadi ya wapiga kura.
 
ishu ni je?tozo zinatumika vzr???
 
Huyo magufuli angekuwa anapendwa kama unavyohadaa hapa angechezea uchaguzi? Magufuli ndio rais aliyekuwa anachukiwa zaidi, na ushahidi ni idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura, hadi ikabidi apike idadi ya wapiga kura.
Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.
 
Acha kutumia uhuru vibaya mkuu ukuku wake Nini Sasa, maana hats Mimi sipendi kabisa kuitana Majina ya kuudhi
Pole sana. lakini NAWE watakiwa kuacha kutetea ujinga uaoharibu maisha ya waTz. Anayoendelea kututendea Mama hayastahili kwa binadamu. Maisha bora kwa kila mtanzania ni haki ya kila mtanzania kuipata HAPAHAPA Tanzania. KAWAAMBIE hao matozoman wenzio waache kutuambia eti tuhamie Burundi. .
 
Mkuu ukiona anayekukimbiza anaanza kumwaga matusi basi ujue ameshashindwa mbio, we ongeza spidi tu. Mama analijua hilo ndo maana anajipigia mwendo tu.....naamini baada ya muda, kama uhai upo, haswa wa hawa wamchukiao kwa sababu zao za kishetani, watapiga magoti kuomba msamaha kwz Mungu.

Ni agenda yao kuu ya kumdhalilisha waliyonayo tangu mwanzo, inapitia tu vipindi tofauti. Hatua iliyofikia sasa ya matusi ni kipindi cha mwisho kabla hawajashukuru kuwa nae. Nikupitishe kidogo;
1. Ye ni remote tu, kiongozi ni JK,
2. Anavaa maushungi tu kama yupo uswahilini (wakiiattack imani yake),
3. Hakuna mradi wowote atakaoukamilisha aliouanzisha JPM (imemshinda),..
4. (Alipoikamilisha baadhi) Kwani yeye ameanzisha miradi gani mipya mbona anatembea na ile ile ya JPM?!!!!
5. Anachagua Waislamu wenzake tu,..
6. Anaipendelea Zanzibar tu,...
7. Mali anawapa wajomba zake wa Oman,...
8. Anapambana na JPM badala ya maendeleo ya nchi,....
9. Hawapendi wateule wa JPM,....
10. JNHP power imemshinda, haiwezi.....haiendelezwi (kabla hatujaonyeshwa ukweli wa kinachoendelea kuwa 67% tayari),..
11. Anasafiri nje tu hapa kwetu atasafiri lini?!!!,
12. (Alipofanya ziara ya ndani) Anazunguka tu ndani humu badala ya kuwaacha wasaidizi wake wafanye kazi hiyo ya kuzunguka humu ndani
13. N.k....

Relax tu mkuu, ndo wameumbwa hivyo!!

Kiufupi sijapata kuona raisi aliyepata shida ya mashambulizi kama huyu. Lakini pia, ni Mama mmoja jasiri sana......tena jembe haswa ndo maana vidume vipo nyuma ya keyboard humu vinatukanatukana tu kama hatua yao ya mwisho baada ya kushindwa kumzuia asiingie ikulu n.k.
 
Tukosoe kistaarabu sio matusi na kejeli mkuu
Hayajaanza leo Wala jana. Umesahau Kuna kiongozi aliwai kumkosoa kwa kumuita mwenzie "malaya" mbele ya public?
 
Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.

Kwa taarifa yako wapiga kura hawakufika 10m, ila yeye alitangazwa kwa kura 12m+, hapo unatoa wapi nguvu ya kusema kuwa uchaguzi wa urais haukuchezewa? Kama aliweza kuchezea wa wabunge, angeshindwa nini kuchezea za urais?
 
Uchaguzi ulichezewa kwa wabunge ila kura za Rais hazikuwa na shida. Ni sawa na uchaguzi wa 2005, Kikwete alipendwa mno ila wabunge wengi walianguka.
Hiv hii ilikuwaga ni editing ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…