Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

Kodi hii ikianza kuwasilishwa serikalini itatusaidia kuacha kukopa kama mataahira
 
 
Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502
 
Kodi hii ikianza kuwasilishwa serikalini itatusaidia kuacha kukopa kama mataahira
Kwa hili nakuunga mkono mkuu, unapolipia bima yoyote ile ni Kwa faida yako wewe mlipa bima pamoja na kampuni ya bima,Tena kwa makubaliano sio kulazimishana, unapolazimishwa kulipa bima tayari hiyo ni Kodi kama tunavyolazimishwa kulipa Kodi nyingine

Vinginevyo Hali ikiendelea hivi tutugundua Kuna mkono wa vigogo wakubwa wa serikali kwenye haya makampuni ya bima,
 
Exactly, hii kodi ya ‘thirdparty’ kuna vigogo kama akija Joseph Mungai ndio wamekamata hapo, wanavuna tu wasichopanda, hii ni kodi ya serikali na ifikishwe serikalini!
 
 
Kwani bima inalipwa kwa lengo la kuboresha miundo mbinu ?
 
Kwani bima inalipwa kwa lengo la kuboresha miundo mbinu ?
Miundo mbinu ni mfano tu, ila hoja ni kwamba kwanini pesa ambayo tunashurutishwa kulipa na matrafiki polosi iende mifukoni mwa watu binafsi badala ya kupelekwa serikalini, na hao wakusanyaji wapewe comission tu kwa kazi yao ya kukusanya kodi ya serikali? Na kama thirdparty atakuwa na madai basi atalipwa na serikali kwa kupitia shirika la bima la taifa. Eitherway, thirdparty wanaodai ni wachache sana ukilinganisha na pesa inayokusanywa, hivyo hii ni kama kodi tu, na inapaswa kuwasilishwa serikalini kama kodi zingine.
 
Bima ya 3rd party wanalipa client anapopata ajali?
 
 
 
Hii kodi ya third party watu wanajichotea tu, kodi halali kabisa ya serikali hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…