FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #181
Kodi hii ikianza kuwasilishwa serikalini itatusaidia kuacha kukopa kama mataahira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili nakuunga mkono mkuu, unapolipia bima yoyote ile ni Kwa faida yako wewe mlipa bima pamoja na kampuni ya bima,Tena kwa makubaliano sio kulazimishana, unapolazimishwa kulipa bima tayari hiyo ni Kodi kama tunavyolazimishwa kulipa Kodi nyingineKodi hii ikianza kuwasilishwa serikalini itatusaidia kuacha kukopa kama mataahira
Em itakua vizuri ukidadavua kwa mapana madogo apa jf kwa manufaa ya wanajf..Ile third party unayokata umeshawahi kusoma policy yake? Kama utakuwa na muda isome halafu ujisomee sheria ya bima nchini kwetu.
We panya road wewe, mmeiba huko mnataka mmuuzie nani hapa?!Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502View attachment 2368430
Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo.., akabaki kuleta kejeli tu badala ya hojaEm itakua vizuri ukidadavua kwa mapana madogo apa jf kwa manufaa ya wanajf..
Exactly, hii kodi ya ‘thirdparty’ kuna vigogo kama akija Joseph Mungai ndio wamekamata hapo, wanavuna tu wasichopanda, hii ni kodi ya serikali na ifikishwe serikalini!Kwa hili nakuunga mkono mkuu, unapolipia bima yoyote ile ni Kwa faida yako wewe mlipa bima pamoja na kampuni ya bima,Tena kwa makubaliano sio kulazimishana, unapolazimishwa kulipa bima tayari hiyo ni Kodi kama tunavyolazimishwa kulipa Kodi nyingine
Vinginevyo Hali ikiendelea hivi tutugundua Kuna mkono wa vigogo wakubwa wa serikali kwenye haya makampuni ya bima,
Kwani bima inalipwa kwa lengo la kuboresha miundo mbinu ?Sasa kwanini serikali ishurutishe raia kuchangia watu binafsi matrilion kila mwaka ilihali yenyewe inakosa hata pesa ya kuboresha miundombinu ya barabara?
Ni kwanini hii pesa ya bima isiende serikalini ili ikasaidie kuboresha huduma za kijamii, na kama mtu akihitaji kulipwa bima afuatilie moja kwa moja serikalini kupitia mawakala wa bima waliopo kila kona? Kwanini tulazimishwe na polisi kuchangia watu binafsi matrilioni kila mwaka?! Why?! Trillion 3 kila mwaka tunalizimishwa kuwalipa, kwnai nchi yao hii?
Miundo mbinu ni mfano tu, ila hoja ni kwamba kwanini pesa ambayo tunashurutishwa kulipa na matrafiki polosi iende mifukoni mwa watu binafsi badala ya kupelekwa serikalini, na hao wakusanyaji wapewe comission tu kwa kazi yao ya kukusanya kodi ya serikali? Na kama thirdparty atakuwa na madai basi atalipwa na serikali kwa kupitia shirika la bima la taifa. Eitherway, thirdparty wanaodai ni wachache sana ukilinganisha na pesa inayokusanywa, hivyo hii ni kama kodi tu, na inapaswa kuwasilishwa serikalini kama kodi zingine.Kwani bima inalipwa kwa lengo la kuboresha miundo mbinu ?
Bima ya 3rd party wanalipa client anapopata ajali?Serikali haiwezi kufanya biashara na haina ubavu wa kuhudumia aina zote za bima kwa watu wote.
Bima ni biashara kama zingine ambazo faida lazima iwe inaonekana.
Kulazimisha kukata bima ni kukukinga wewe na hasara ya majanga usiyotegemea.
Sawa na vile unalazimishwa kufunga mkanda kwenye gari, kufuata sheria zote za barabarani.
Serikali inafaidika vile hamfi hovyo.