Mkuu chadema na uchaga ni damu damu!Utajitesa bure Chadema itaendelea kusimama, wachaga na makabila wataendelea kusimama na Tanzania itasimama. Kama kosa ni kukataa kudhulumiwa acha wanachadema waonekane wakabila. Chadema IPO nchi nzima
Alijipa jakamoyo,visasi,gubu na kisirani.Vilipomzidi akaamua "akufe"!πππππHapa chato ni mtakuja,
Mchato alijua kuwapeleka puta
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Vizuri sana.Tumeacha maduka yetu tumeenda kumpokea kiongozi wetu tunayemfahamu pekee
Kumbe kufa unaamua tu ee?Alijipa jakamoyo,visasi,gubu na kisirani.Vilipomzidi akaamua "akufe"![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asante mkuu , na mm nakazia Chadema tulianza na MUNGU tutamaliza na MUNGU.Mbowe Mwenyenzi Mungu kukuonyesha ukuu wake pamoja ulinzi uliomkuu.Amina
asante mkuu ila mwambie hangaya anachomfanyia mama mwendazake MUNGU anaona et .Hapa chato ni mtakuja,
Mchato alijua kuwapeleka puta
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Alikufa kwa kihoro cha UVIKO πππππKumbe kufa unaamua tu ee?
Mchato alijua kuwqpelekea moto
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ok... Sikujua hilo henu weka majibu ya kidaktari hapa tuoneAlikufa kwa kihoro cha UVIKO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikufa kwa kihoro cha UVIKO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anamfanyia kipi?asante mkuu ila mwambie hangaya anachomfanyia mama mwendazake MUNGU anaona et .
Lindi ndio kwao? anaenda nyumbani kwao bwasheeAngekwenda Kupokelewa Lindi aoneπ
hangaya hapokei simu zake .
Hata ukiwekewa ushahidi utakataa.Sijui ubongo mmeweka stoo gani ninyi vimbwenerehi wa marehemu!πππππOk... Sikujua hilo henu weka majibu ya kidaktari hapa tuone
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hujui siasa weweSifa za kijinga. Badala afanye kazi analowea kwenye kupeleka watu puta. Apeleke puta mashetani sasa huko kuzimu
Weka ushahidi acha mipasho manka!Hata ukiwekewa ushahidi utakataa.Sijui ubongo mmeweka stoo gani ninyi vimbwenerehi wa marehemu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini alimpigia na kisha hakupokea simu?hangaya hapokei simu zake .
Subiri 2025 ndio utajua hujuiKweli kabisa. Siasa za mwendakuzimu sizijui wala sizitamani