Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Gaidi lina nguvu sana, limeamua kuharibu kabisa siku 365 za Mama.!
 
Inaonekana alikua anaupenda huo mcheza. Kuna siku aliwauliza kama mnataka kupanuliwa.

Wewe ulipanuliwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize machadema wenzio ambao hata wakishindwa kusimamiha wanamlaumu jiwe,

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Manka ni dada yako wa mwisho.Acha kubisha kwa kutumia kiuno weye fukara.Mbowe yupo kwake anakula loshoroo.Weye waite wasugunsu(sukuma gang)wakupe makopa,michembe,masangu au matobholwa uzuie kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebana eee!

Hili povu vipi tena manka?



Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kuondoa dhana kwamba hiki chama kina harufu kubwa ya ukabila, mapokezi hayo yangeandaliwa nje ya mko wa Kilimanjaro ingependeza. Ni ushauri tu.
 
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
Ndio Maana nimehama kwenu,,chuki chuki tuuu,,Mama kuongea na Mbowe;;;Watu wamenuna..
 
Mbowe anakubalika. Nadhani umefika muda sasa ikimpendeza rais wetu Samia amteue Mbowe kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole kwasababu kwa muda aliokaa gerezani ameshajua hali ilivyo huko. Tafadhali mwenyekiti wa CCM naomba umteue Ndugu Mbowe kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…