Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Tunamuomba mkuu wa majeshi atoe ufafanuzi.

Jeshi letu maarufu km jeshi la wananchi je ameona yanayoendelea visiwani?

Je, kuna kikosi kipya?

Clip ya zanZibar imenihuzunisha sn
 
Haki haiombwi kama mapenzi hupiganiwa

Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda, waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…