Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

Hızı picha zimenishangaza. Zinazungumza mengi sana yanaoendelea hapa nchini.

Sasa ndo nimegunduwa kwanini kuna Samia queens ya kina Jokate.
 
Huko kwa Jirani sijui hata kulikuaje, nasikia walilipwa Hadi posho ila wakagoma kuendelea kufedheheka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aiseee BAWACHA ni taasisi mara sana, ipo organised no wonder kilitoa wagombea ubunge majimbo zaidi ya 70. Kule UWT ipo kwa ajili ya viti maalum na uDC zaidi ya hapo inakua dormant miaka 5 yote!!

Hongera sana Mhe Sharifa na secretariat yako, mmetisha sana.
 
A very honest comment ever! Hakika hakika Ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…