Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna bifu za wadada Kugombeaa wanaume

nakumbuka kuna Siku zilitupiwa picha humu

jamaa alikusanya picha za wadada tofauti tofauti akawa anatupia,
wadada na makundi yao nayo wanachambana,
watu matumbo joto...Poleni sana wenzangu mlioliwa kimasihara...

msiogope kushare.

komesha korona
 
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS!

Tukio la pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya Kike aloipachika jina la "Gilesii"[emoji1787]. Haikuchukua Muda, Members Wakagutuka! Alichokipata siri yake.

Tukio la tatu ni Mzamiaji Parabora. Yeye alikuja JF kwa mikogo kabisa akidai kwamba anaishi Geneva Uswisi. WanaJF wakamtoa mafichoni, na kubainika kuwa jamaa ni Mgongaulimbo tu yupo humuhumu.

HEBU ONGEZA TUKIO LOLOTE AMBALO HUTAKUJA LISAHAU KUTOKA JF. Iwe kuchekesha au Serious Threads (Ukiweka na link ya tukio ni safi)
Where is Kinondoni Sweetheart?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuwekea tarehe ambayo Uswizi ilianza lockdown, nikamuambia, wewe club umeendaje wakati Uswizi ipo katika lockdown na hii ni habari imetangazwa dunia nzima?

Alishindwa kunijibu akabaki anajiumauma tu.

Tangu hapo nikamuona mtu wa mazabe mazabe tu, ila sikuwa na muda mchafu wa kufanya forensic investigation.

Naona wadau wamenunua kesi wakachukua mpaka fingerprint, bado kidogo wapate ushahidi wa DNA!
Sijakuona long time msukuma... Mamboz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom