Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wewe juha wa wapi?Salaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Hahaha siyo kweli, Matikiti yako aina nyingi sana, matunda ambayo ni GMO hayana mbegu, na Hat yakiwa nazo hazioti hiyo ni sifa moja wapo ya matunda ya GMO. Unadhani Dunia nzima yalikuwa meusi tu? Huku niliko mimi meusi yapo, na tunaotesha maporini yanaota na tuna vuna kama zamani.Umetoa ushauri mzuri
Lakini kilimo ni pure science pia ni biashara.
Je jiulize mara ya mwisho kuyaona matikiti ya kienyeji ni lini, jale matikiti ya rangi nyuesi , haya matikiti ya zebra ni GMO.
Due to global population, tz ss ina watu 60 ml. Mashamba yetu ni heka kumikumi, utavuna kiasi Gani kwa mbegu za kienyeji kwa hii global warming and pollution.
Tunapoelekea ni kubaya Zaidi
Lazima tuambiane ukweli, zitumike njia salama za science kilimo
Ndio maana kuna mashoga wengi?Hata Israel chakula Chao kikuu ni ngano,
Lakini mbona tunapiga sana bia inayotengenezwa kwa ngano, tàtizo liko wapi?Salaam, Shalom!!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula,
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
kwahiyoSalaam, Shalom!!

Zinaitwa "nsansa"!Kama hauzipendi kula kansolele.Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
Na kweli, siyo kuibiwa kura ila uchaguzi.Tubadili aina ya vyakula,
Labda tutabadilika na kukataa kuibiwa kura kizembe.
Chakula cha ubongo ni kusoma vitabu sisi waafrika hatupendi kusomaMbona Israel hakuna Ujinga kama huku,
Yaani Ule ngano isiyokobolewa, saa ngapi uwaze kuongoza watu kimabavu Kwa kuiba kura?
Sasa ugali haukupi hamu ya kusoma vitabu.Chakula cha ubongo ni kusoma vitabu sisi waafrika hatupendi kusoma
Mkuu,Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
Hii ngano, Asali na zabibu zimetumiwa sana na Watu wa mashariki ya kati kwa maelfu ya miaka mpaka leoNgoja niedit,
Ngano isokobolewa,
Ukitaka ugali, pika ugali wa ngano brown
Mansansa yapo kama manywele hayatafuniki🤣🤣Mkuu,
Katika mboga zotee umeiona SANSA PEKEE,
EMBU UTUACHE WANYAMWEZI 🤣🤣😂😂
Cardi B ana uafrika gani ?Ni mwafrika huyo Kwa asili
I am going to add my insight: Honestly If Cardi B is black it’s only a small percentage, but theres no proof that she is black, and no it’s not too much to ask for her to show some proof considering that she uses the N word in her songs, that’s a very sensitive topic (especially considering how black people are treated in today’s world). So my answer is no and I’ll explain:Ni mwafrika huyo Kwa asili
Hapa nimecheka 🤣🤣Sasa ugali haukupi hamu ya kusoma vitabu.