Nasikia tu sina hakika. Hivi ni kweli eeeh?wanawake mnatumia ugoro kuweka kwenye uchi kukata nyege
Hata mimi jana kuna doctor alikuwa anaelezea canser ya shingo ya kizazi akasema wanawake wanaoweka ugoro.... wako in danger zoneNasikia tu sina hakika. Hivi ni kweli eeeh?
Unaweza kuuogopa Ugoro halafu ukaja kufa kwa kugongwa na Bodaboda,Very dangerous
Njo pm nikutumie location uje kwangu uone kwa vitendo.Ugoro unatengenzwaje?
VAR CHECKNini madhara yake
hawasikii hawa watoto pombe kali mixer ugoro na energy drink.Vijana waache kabisa ugoro mbaya sana