spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Mwamba wa wote ni KUBER miaka ile
Niko serious nataka kujua nijifunze!Njo pm nikutumie location uje kwangu uone kwa vitendo.
Moja ya jambo la HOVYO Kuna my youngest brother anatumia sijui atawezaje..
Hmm hapana napunguza vilevi na sio kuongeza!Kutengeneza au kutumia?
😂Ngoja kwanza nimalizie kuweka ugoro wangu chini ya ulimi kisha ndio nije nichangie hii mada.
Tafuta upo uzi humu JF umeongelea jambo hilo.Niko serious nataka kujua nijifunze!
Hii ni tumbaku, inasagwa, inachnganywa na magadi, then inakaangwa kwenye moto,Ugoro unatengenzwaje?
Back days ilikua nikitupia kitu icho.. seli zinatembea kwa kasi…kichwa kinawaka moto.. nikifungua slides ni shap sha shap nimemaliza.
Sawa nutautafuta shukran!Tafuta upo uzi humu JF umeongelea jambo hilo.
Oooh kumbe. Bas sawaHata mimi jana kuna doctor alikuwa anaelezea canser ya shingo ya kizazi akasema wanawake wanaoweka ugoro.... wako in danger zone
Oyaa!! Kumbe ndio inapitia process hizo zote ili iweke mambo sawa, kwahiyo nani aliyegundua ukichanganya na magadi italeta stimu?Hii ni tumbaku, inasagwa, inachnganywa na magadi, then inakaangwa kwenye moto,
-Ikiwekwa maji kidogo kutengeneza kama paste, ndo ile ya kueekwa chini ya mdomo.
-Ikiachwa bila maji as dry powder ndo ile ya ku sniff
Hii ni non smoking tobbaco. Na stimu yake iko kama mafegigi tu sema conc 🔥🔥🔥😁
Hivi rafkiangu kuna kitu hujagusa wewe?🙆🏽♀️Back days ilikua nikitupia kitu icho.. seli zinatembea kwa kasi…kichwa kinawaka moto.. nikifungua slides ni shap sha shap nimemaliza.
Nasukutua nalala …:the tukikutana venue kesho ⚒️⚒️
VARSawa nutautafuta shukran!
Noma iyo.. saivi ni kishungi tu 😁Oyaa!! Kumbe ndio inapitia process hizo zote ili iweke mambo sawa, kwahiyo nani aliyegundua ukichanganya na magadi italeta stimu?
Hmm kusniff teinaah!!🙆🏽♀️ hii ni hatari wacha tubaki zetu na kishungi tu, au unasemaje mwangu?
Stimu noma mtu wangu. Nashukuru saivi nimetoka uko nakula mjani tu ata fegi sigusi.Hivi rafkiangu kuna kitu hujagusa wewe?🙆🏽♀️
Safi!! Wacha nije nijaribu nitaleta mrejesho!VAR
Mkuu,
Unataka ugoro upi uwe mkali? Maana kuna aina mbili au tatu za ugoro.
1. Ugoro wa kuvuta puani 2. Ugoro wa mdomoni 3. Ugoro wa kunako kwa wanawake.
Jinsi ya kutengeneza ugoro mkali.
1. Chukua tumbako kavu, weka jikoni upashe upate joto. Tunafanya hivi kwa sababu tumbaku huwa unalegea kiaina. Ukipasha unakuwa rahisi kuutwanga.
2. Ukishapata joto, chukua weka kwenye kinu. Anza kuutwanga. Ukilainika mimina kwenye nguo nyepesi, anza kuchuja. Hii itakusaidia vumbi lake tu kupatikana. Ile baki rudisha kwenye kinu na anza kutwanga tena. Na urudie zoezi mpaka umalize.
3. Chukua magadi...