Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

screenshot_20260923-221158-2-jpg.3676901
Kwani ugoro bei gani kwa watumiaji?.
Nauliza nione kama naweza kuuzalisha hapa nchini. Kama naona fursa vile?
 
Hata mimi jana kuna doctor alikuwa anaelezea canser ya shingo ya kizazi akasema wanawake wanaoweka ugoro.... wako in danger zone
Hata dini ni hatari zaidi kuliko ugoro, pia siasa, kuna vyakula, na mapenzi pia ni hatari kuliko ugoro
VAR CHECK

Unaweza kuuogopa Ugoro halafu ukaja kufa kwa kugongwa na Bodaboda,
Dunia ina mambo mengi sana.
Kuna watu waliuawa kama kumbikumbi Oktoba 29, na hawakufa kwa ugolo
Saratani,kuharibika kinywa na meno,Rti,shinikizo la damu na afya ya akili+ addiction
Hata ugali unaweza kukusababishia saratani
Ugoro umetumiwa enzi na enzi acheni viherehere mbona pombe na sigara hamzikemei
Na utakuta una faida nyingi kuliko hasarq
 
Hata dini ni hatari zaidi kuliko ugoro, pia siasa, kuna vyakula, na mapenzi pia ni hatari kuliko ugoro


Kuna watu waliuawa kama kumbikumbi Oktoba 29, na hawakufa kwa ugolo

Hata ugali unaweza kukusababishia saratani

Na utakuta una faida nyingi kuliko hasarq
Sawa ni mawazo yako!
 
Ukitumia ugoro (wa kuweka mdomoni) kwa mara ya kwanza kuna uwezekano mkubwa sana ukatapika na kukata gogo papo hapo.

Ugoro šŸ™Œ
 
Back
Top Bottom